Kulinda ajira yako fanya yafuatayo

Kulinda ajira yako fanya yafuatayo

Kama boss hataki kusikliza kilichotofauti na mawazo yake unafanyaje kulinda ajira yako?
huo ni utumwa wa akili na nafsi yamkini uongo huwa ni uongo tu hata kama kila mtu anaushabikia pia ukwel ni ukweli tu hata kama kila MTU anaupinga
 
Kama boss hataki kusikliza kilichotofauti na mawazo yake unafanyaje kulinda ajira yako?
Huo utakuwa ni udhaifu aliokusoma toka unaanza kibarua lakn kwetu boss anajua fika huyu chief anafanya wajibu wake makini na anataka haki zake makini vilevile
 
Well applied hasa katika taasisi binafsi

Hata hivyo hii inaprove kwamba kuajiriwa ni utumwa, mtu una diploma, degree unafanya kitu ili kumridhisha boss by then mwisho wa mwezi unapata pesa isiyozidi laki tano (500,000)

Kama sisi tumeshafeli na ngumu kujinasua tusifanye makosa kwa vizazi vyetu (watoto)
 
Back
Top Bottom