New Designer
JF-Expert Member
- Aug 8, 2025
- 551
- 879
Kulingana na experience yangu hizi ndio kabila na shughuli zake maarufu wanazo jihusha nazo Dar unaweza kutaja nyenginezo.
Wachaga - kazi za Mangi yani maduka ya chakula soda
Wagogo - Wauza mabucha ya nyama
Wamasai - hawa ni Ulinzi & Dawa na vitu vya asili
Wabukoba - wanajihusisha sana dar wafanya kazi za ndani
Wakurya - Wauza mayai wengi sana
Wazaramu - wanajihusisha sana na wakodisha miziki ya vigodoro
wakuu ni makabila gani mengine nime yasahau hapo yenye shughuli maarufu dar ?