New Designer
JF-Expert Member
- Aug 8, 2025
- 551
- 879
😂😂😂😂Wazaramo umetukosea adabu
Labda Wakoba kutoka BukobaWabukoba ndio watu gani?
eeeh nikumbushe kabila lao mkuuWabukoba ndio watu gani?
wana makabila gani hao watu mkuu wanguLabda Wakoba kutoka Bukoba
ShenziWaluguru-kutembeza mboga na nyanya mtaani
Wakoba wanatokea Bukoba Kwa mujibu wa Mzee flani nilipomhoji mwaka 2016 kuhusu maana ya jina la Wilaya 'Bukoba'. Makabila ninayoyafahamu huko Mkoani Kagera ni:wana makabila gani hao watu mkuu wangu
asante sana mkuu wangu kwa uchambuzi mnonoWakoba wanatokea Bukoba Kwa mujibu wa Mzee flani nilipomhoji mwaka 2016 kuhusu maana ya jina la Wilaya 'Bukoba'. Makabila ninayoyafahamu huko Mkoani Kagera ni:
1. Wahaya - Bukoba Vijijini
2. Wasubi - Biharamulo
3. Waihangiro- Muleba
4. Waziba-Missenyi & Bukoba Vijijini
5. Wanyambo-Karagwe
6. Wahangaza-Ngara
Wahaya, hawaruhusu kuvua viatu na kutumia muda mrefu kuchokochoa.Kulingana na experience yangu hizi ndio kabila na shughuli zake maarufu wanazo jihusha nazo Dar unaweza kutaja nyenginezo.
Wachaga - kazi za Mangi yani maduka ya chakula soda
Wagogo - Wauza mabucha ya nyama
Wamasai - hawa ni Ulinzi & Dawa na vitu vya asili
Wabukoba - wanajihusisha sana dar wafanya kazi za ndani
Wakurya - Wauza mayai wengi sana
Wazaramu - wanajihusisha sana na wakodisha miziki ya vigodoro
wakuu ni makabila gani mengine nime yasahau hapo yenye shughuli maarufu dar ?
Umetusahau wahayaKulingana na experience yangu hizi ndio kabila na shughuli zake maarufu wanazo jihusha nazo Dar unaweza kutaja nyenginezo.
Wachaga - kazi za Mangi yani maduka ya chakula soda
Wagogo - Wauza mabucha ya nyama
Wamasai - hawa ni Ulinzi & Dawa na vitu vya asili
Wabukoba - wanajihusisha sana dar wafanya kazi za ndani
Wakurya - Wauza mayai wengi sana
Wazaramu - wanajihusisha sana na wakodisha miziki ya vigodoro
wakuu ni makabila gani mengine nime yasahau hapo yenye shughuli maarufu dar ?
hahaaWabukoba ndio watu gani?