Kulingana na maelezo ya Djumbe na rafiki yake, Polisi wanahusika 100% kuua na kuteka 'wanaharakati'?

Cute Wife

Platinum Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
3,054
Reaction score
8,449
Kwa maelezo ya Djumbe na rafiki yake, jumlisha na alichokisema Golugwa, ni kuwa kuna list ya watu wapo kwenyw Blackbook, wanafuatiliwa mm9ja baada ya mwingine, anayeagiza hayo ni mtu mmoja (ambaye naye atakuwa anachukua maelekezo toka kwa Boss kubwa sasa), na kuyafikisha kwa Mafwele, kisha Mafwele anatoa taarifa kwa wahuni wake ambao wanashirikiana na baadhi ya Polisi wenye mamlaka au wenye connection huko juu.

Lakini pia wametoa somo, ukijua unafuatilia kanyaga mafuta, ukishindwa bananisha uwagonge woteeee, umeshindwa kabisa kila kitu piga kelele kama mwehu like your life depends on it, because it DOES!

Kama uchumi wako unaruhusu kumili kitasa, fanya mchakato umiliki, huwezi kujua kama wewe au mpendwa wako ni target. Mwenzangu na mimi uwe na kitu hata cha kuacha jeraha likitokea la kutokea ili walahau hata ikusaidie kuchoropoka tu na kupata msaada mbelembele, hata paper spray inaweza kukusaidia pakubwa.

La muhimu kabisa, wananchi tusipokataa haya kwa umoja, hizi mambo haziwezi kukoma. Ni sisi tu ndio tuna uwezo wa kukataa haya yote!

====

Nimeokota observation hii kutoka huko mtandaoni, jamaa amepiga pale pale.....

1. Polisi wanakwepa kufungua file kama mtu ametekwa.

2. Polisi wanauliza maswali ya kazi gani unafanya badala ya kuangalía suala msingi la utekaji.

3. Polisi hawakupoteza muda hata kwenda kwenye eneo la tukio, means walilijua tukio.

4. Kufungua file kwa mtu aliyetekwa lazima kupiga SIMU kwa viongozi wa juu ndio waruhusu kufungua file, ikimaanisha Polisi haiko HURU, imetiwa mfukoni.

5. Watekaji wana ushirika na Polisi na TISS, wanajuana ndio maana walipofika kwenye gate za usalama wakaanza piga risasi ovyo kuua watu.

6. Watekaji walifanya matukio kama yaliyofanyika kwenye maandamano, walipiga wananchi risasi nyingi kuwamaliza, hawa ni wauaji walewale wa MO29.

7. Polisi wana orodha ya watu wanaosakwa kuuwawa WANAHARAKATI, ukienda kureport wanakwepa kujaza file au form yoyote wanaanza kuzungushana na kupigiana simu kwa masaa.
 
Naona umeuliza swali polisi wanahusika na utekaji?

Ngoja nikujibu;

Ndio polisi wanahusika na utekaji, how?

Iko hivi;

Wasiojulikana wakishateka mtu, wanaenda kumtesa na ikilazimu wanamuua, watafanya hivyo endapo hapatakuwa na kelele za mtekwaji arudishwe ikiwa alionekana akitekwa.

Kama mtekwaji alionekana akitekwa, mfano wa Djumbe juzi, hapo ndipo kelele za watu zitaanza, na bahati nzuri kwasababu mtekwaji alijiokoa, basi hapo polisi ndio watajitokeza kusema wanafanya uchunguzi.

Kumbuka, kama mtekwaji akipotezwa kimyakimya bila kelele zozote mitandaoni, polisi nao hukaa kimya. Lakini polisi hujitokeza na taarifa yao ya "tunaendelea na uchunguzi" ili kutunyamazisha, wala sio kuchunguza kweli.

Ndio maana wengi ambao polisi walidai kufanya uchunguzi wa kutekwa kwao, hatujawahi kupewa majibu ya huo uchunguzi mpaka leo.

Anzia kwa Mdude, Soka, Fr. Kitima alivyopigwa na wengine, kote polisi walisema wanafanya uchunguzi lakini hakuna majibu yoyote mpaka leo.
 
Hakuna aliyesalama hata hao wauwaji, watekaji na wanaofurahia mambo yatawabadilikia ni swala la muda...hili swala sio la CHADEMA,CCM na vyama vingine pekee, athari yake ni kubwa kupita maelezo...wanadiplomasia,wanasheria na wengne wote wenye mapenzi na taifa letu tulikatae kabisa tusichoke kuishauri serikali, utafiti mdogo uliofanyika hii wiki raia wameanza kuishi kwa hofu kubwa..kitendo cha Djumbe kimekuja kutoa majibu ya maswali...wananchi tudai MARIDHIANO, KATIBA MPYA sambamba na kufumua mifumo ya kisiasa na kusuka upya..Wananchi tunatakiwa tuwe na nguvu ya maamuzi ya kuwajibisha nasio kuwajibishwa labda inapobidi..Leo kwa jirani yako kesho kwako.
 
Kwa maelezo ya Djumbe na rafiki yake, jumlisha na alichokisema Golugwa, ni kuwa kuna list ya watu wapo kwenyw Blackbook, wanafuatiliwa mm9ja baada ya mwingine, anayeagiza hayo ni mtu mmoja (ambaye naye atakuwa anachukua maelekezo toka kwa Boss kubwa sasa), na kuyafikisha kwa Mafwele, kisha Mafwele anatoa taarifa kwa wahuni wake ambao wanashirikiana na baadhi ya Polisi wenye mamlaka au wenye connection huko juu.

Lakini pia wametoa somo, ukijua unafuatilia kanyaga mafuta, ukishindwa bananisha uwagonge woteeee, umeshindwa kabisa kila kitu piga kelele kama mwehu like your life depends on it, because it DOES!

Kama uchumi wako unaruhusu kumili kitasa, fanya mchakato umiliki, huwezi kujua kama wewe au mpendwa wako ni target. Mwenzangu na mimi uwe na kitu hata cha kuacha jeraha likitokea la kutokea ili walahau hata ikusaidie kuchoropoka tu na kupata msaada mbelembele, hata paper spray inaweza kukusaidia pakubwa.

La muhimu kabisa, wananchi tusipokataa haya kwa umoja, hizi mambo haziwezi kukoma. Ni sisi tu ndio tuna uwezo wa kukataa haya yote!

====

Nimeokota observation hii kutoka huko mtandaoni, jamaa amepiga pale pale.....

1. Polisi wanakwepa kufungua file kama mtu ametekwa.

2. Polisi wanauliza maswali ya kazi gani unafanya badala ya kuangalía suala msingi la utekaji.

3. Polisi hawakupoteza muda hata kwenda kwenye eneo la tukio, means walilijua tukio.

4. Kufungua file kwa mtu aliyetekwa lazima kupiga SIMU kwa viongozi wa juu ndio waruhusu kufungua file, ikimaanisha Polisi haiko HURU, imetiwa mfukoni.

5. Watekaji wana ushirika na Polisi na TISS, wanajuana ndio maana walipofika kwenye gate za usalama wakaanza piga risasi ovyo kuua watu.

6. Watekaji walifanya matukio kama yaliyofanyika kwenye maandamano, walipiga wananchi risasi nyingi kuwamaliza, hawa ni wauaji walewale wa MO29.

7. Polisi wana orodha ya watu wanaosakwa kuuwawa WANAHARAKATI, ukienda kureport wanakwepa kujaza file au form yoyote wanaanza kuzungushana na kupigiana simu kwa masaa.
Tupo na uongozi mbovu mno wakati huu.
 
Yes, ukiwa kwenye gari, igeuze gari yako kuwa silaha!
 
Tununue hata pilipili za unga tuwamwagie ukipata upenyo shenzi haowatekaji wa mafwele.
 
Back
Top Bottom