Kulingana na ripoti ya IMF ya hivi karibuni, Tanzania haimo katika top 10 ya nchi zenye uchumi unaokua kwa kasi Afrika

Synthesizer

Platinum Member
Joined
Feb 15, 2010
Posts
12,699
Reaction score
22,598
  1. South Sudan, ripoti ikionyesha uchumi wao utakuwa kwa 27.2% kufikia 2025, japo katika 2024 inflation yao ni 120%
  2. Libya, wikitarajiwa uchumi kukua kwa 13.7%, inflation iko 2.4%
  3. Senegal, uchumi kukua kwa 9.3%, infation iko 1.5%
  4. Sudan wao uchumi utakua kwa 8.3% kufikia 2025
  5. Uganda wanaenda kwenye 7.5%
  6. Niger watakua kwa 7.3%
  7. Zambia wanaonyesha watakua kwa 6.6%
  8. Benin uchumi utakua kwa 6.5%
  9. Rwanda uchumi kukua kwa 6.5%
  10. Ethiopia uchumi kukua kwa 6.5%
Kwa hiyo pamoja na kelele nyingi na mapambio ya sifa, ukuaji wa uchumi wetu huna dalili zozote kwamba utapiga hatua ya maana kufikia 2025. Tupo tunakimbia kwenye treadmill tu, bidii kubwa bila kwenda popote.

Source: Top 10 fastest growing economies in Africa by IMF projection
 
Itakuwa ni outdated data. Sudan hii yenye vita sasahiv ndo uchumi utakuwa kwa 8.3%?

Na hiyo South Sudan, huo uchumi ukikuwa kwa 27.2% na Inflation ni 120% hiyo maana yake real GDP growth itakuwa kwenye negative territory... hahaha data nyingine hizi ni kuwa nazo makini
 
vp EQUATORIAL GUINEA ??? hawajanda uchumi wao
 
1731333238397.png
 
Itakuwa ni outdated data. Sudan hii yenye vita sasahiv ndo uchumi utakuwa kwa 8.3%?

Na hiyo South Sudan, huo uchumi ukikuwa kwa 27.2% na Inflation ni 120% hiyo maana yake real GDP growth itakuwa kwenye negative territory... hahaha data nyingine hizi ni kuwa nazo makini
Unawajua IMF au unawasikia tu? Wewe unataka kuwafundisha kazi?
 
Wezi ndo wa kukuinulia uchumi wako Kweli??
 
  1. South Sudan, ripoti ikionyesha uchumi wao utakuwa kwa 27.2% kufikia 2025, japo katika 2024 inflation yao ni 120%
  2. Libya, wikitarajiwa uchumi kukua kwa 13.7%, inflation iko 2.4%
  3. Senegal, uchumi kukua kwa 9.3%, infation iko 1.5%
  4. Sudan wao uchumi utakua kwa 8.3% kufikia 2025
  5. Uganda wanaenda kwenye 7.5%
  6. Niger watakua kwa 7.3%
  7. Zambia wanaonyesha watakua kwa 6.6%
  8. Benin uchumi utakua kwa 6.5%
  9. Rwanda uchumi kukua kwa 6.5%
  10. Ethiopia uchumi kukua kwa 6.5%
Kwa hiyo pamoja na kelele nyingi na mapambio ya sifa, ukuaji wa uchumi wetu huna dalili zozote kwamba utapiga hatua ya maana kufikia 2025. Tupo tunakimbia kwenye treadmill tu, bidii kubwa bila kwenda popote.

Source: Top 10 fastest growing economies in Africa by IMF projection
Tanzania imepanda kwa kasi, na pengine kuwa nchi ya kwanza Afrika, kwa utekaji na mauaji ya wanaoikosoa Serikali na Rais, ikikaribiwa na Rwanda na Uganda, ndiyo maana haimo katika nchi 15 zenye demokrasia, Afrika.
 
Wezi ndo wa kukuinulia uchumi wako Kweli??
Gharama tunayoingia kutokana na fedha za umma kufujwa ni kubwa sana. Yaani ni kama tunagharamia wanasiasa wote na viongozi wa taasisi na mashirika ya serikali kuwa mabilionea. Kibaya zaidi ni kwamba hawaridhiki na wanachoiba. Wamefuja hela ambazo wao, watoto wao, wajukuu wao watakula na kusaza, lakini bado wanataka waibe zaidi!
 
Back
Top Bottom