Ripoti mpya ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ya mwezi Aprili 2026 imeitaja Tanzania kuwa ya 3 kwa uchumi wake kupanda Afrika Mashariki
Kulingana na takwimu hizo, uchumi wa Tanzania unatarajiwa kukua kwa kasi ya asilimia 6.6 mwaka 2026, kiwango ambacho ni kikubwa ikilinganishwa na wastani...
Asilimia 77.4 ya deni la nje la Tanzania linashikiliwa na Central government, ikimaanisha kuwa serikali ndiyo mkopaji mkuu. Hii inaashiria utegemezi mkubwa wa mikopo ya kimataifa kwa ajili ya maendeleo, miundombinu, na mahitaji ya kifedha.
Tanzania ambayo deni lake la Taifa limepaa kwa kasi na...
Top 10 African countries with the highest debt to the IMF in February 2025
While some African countries have chipped away at their debts others have piled onto them, as they’ve reached out to financiers like the International Monetary Fund (IMF) for financial aid.
Excessive debt accumulation...
Ripoti ya hivi karibuni ya Shirika la Fedha Duniani (IMF) kuhusu hali ya deni la mataifa 186 duniani imeonyesha kuwa Tanzania inazidi kuimarika kiuchumi chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan.
Katika ripoti hiyo ya Economic Outlook ya Oktoba 2024, Tanzania imeorodheshwa na uwiano wa deni...
South Sudan, ripoti ikionyesha uchumi wao utakuwa kwa 27.2% kufikia 2025, japo katika 2024 inflation yao ni 120%
Libya, wikitarajiwa uchumi kukua kwa 13.7%, inflation iko 2.4%
Senegal, uchumi kukua kwa 9.3%, infation iko 1.5%
Sudan wao uchumi utakua kwa 8.3% kufikia 2025
Uganda wanaenda kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.