Ripoti ya IMF: Tanzania yashika nafasi ya 3 kwa kasi ya ukuaji wa uchumi Afrika Mashariki

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
2,536
Reaction score
7,194
Ripoti mpya ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ya mwezi Aprili 2026 imeitaja Tanzania kuwa ya 3 kwa uchumi wake kupanda Afrika Mashariki

Kulingana na takwimu hizo, uchumi wa Tanzania unatarajiwa kukua kwa kasi ya asilimia 6.6 mwaka 2026, kiwango ambacho ni kikubwa ikilinganishwa na wastani wa ukuaji wa nchi nyingi za Kusini mwa Jangwa la Sahara. Makadirio hayo yanaonyesha kuwa kasi hiyo itazidi kuongezeka hadi kufikia asilimia 6.7 mwaka 2027.

Kulingana na ripoti ya IMF, msimamo wa nchi za ukanda huu kulingana na asilimia ya ukuaji wa Pato la Taifa (GDP) ni kama ifuatavyo:

  1. Uganda: Inashika nafasi ya kwanza kwa makadirio ya ukuaji wa 7.5%.
  2. Rwanda: Inafuatia katika nafasi ya pili ikiwa na ukuaji wa 7.2%.
  3. Tanzania: Inakamata nafasi ya tatu kwa ukuaji thabiti wa 5.9%.
  4. Kenya: Inashika nafasi ya nne ikiwa na ukuaji wa 4.5%.
  5. Burundi: Inashika nafasi ya tano ikiwa na ukuaji wa 3.8%.

Picha ya Jumla Afrika na Changamoto Zilizopo​

Wakati Afrika Mashariki ikichanja mbuga, mataifa makubwa kiuchumi kama Nigeria na Afrika Kusini yanatarajiwa kuwa na ukuaji wa kusuasua wa asilimia 3.2 na asilimia 1.4 kwa mwaka 2026.

Matarajio ya Mwaka 2027​

Tanzania inatarajiwa kupunguza pengo hilo ifikapo mwaka 2027, ambapo kasi yake itaongezeka hadi 6.7%, huku mataifa mengine makubwa ya Afrika kama Nigeria (3.1%) na Afrika Kusini (1.4%) yakibaki nyuma sana

afr-projections-table-apr-2026-eng.jpg

Kusoma ripoti nzima, pitia hapa

=======================

After a strong 2025 with regional growth estimated at 4.5 percent, sub-Saharan Africa entered 2026 reaping the benefits of hard-won stabilization gains.

But the war in the Middle East has clouded the outlook. The shock has caused a rapid increase in key commodity prices, particularly in fuel and fertilizer. Poverty, food insecurity, and other social indicators, already weakened by the pandemic, face renewed headwinds from declining foreign aid and rising food prices.

Regional growth is expected to decline to 4.3 percent in 2026 with significant heterogeneity across countries. Downside risks are significant amid high global uncertainty and regional macroeconomic vulnerabilities.

Policy must focus on addressing the shock in the near term and building resilience over the medium term.

Source: IMF
 
  1. Rwanda: Inashika nafasi ya kwanza kwa makadirio ya ukuaji wa 7.5%.
  2. Uganda: Inafuatia katika nafasi ya pili ikiwa na ukuaji wa 7.1%.
  3. Tanzania: Inakamata nafasi ya tatu kwa ukuaji thabiti wa 6.6%.
  4. Kenya: Inashika nafasi ya nne ikiwa na ukuaji wa 5.3%.
  5. Burundi: Inashika nafasi ya tano ikiwa na ukuaji wa 4.4%.

Picha ya Jumla Afrika na Changamoto Zilizopo​

Wakati Afrika Mashariki ikichanja mbuga, mataifa makubwa kiuchumi kama Nigeria na Afrika Kusini yanatarajiwa kuwa na ukuaji wa kusuasua wa asilimia 3.2 na asilimia 1.4 kwa mwaka 2026.

Matarajio ya Mwaka 2027​

Tanzania inatarajiwa kupunguza pengo hilo ifikapo mwaka 2027, ambapo kasi yake itaongezeka hadi 6.7%, huku mataifa mengine makubwa ya Afrika kama Nigeria (3.1%) na Afrika Kusini (1.4%) yakibaki nyuma sana

View attachment 3574218

Kusoma ripoti nzima, pitia hapa

Source: IMF
Badilisha headline.
Isomeke:
Tanzania at least yazizidi nchi mbili kwa kasi ya ukuaji wa uchumi Afrika mashariki.
 
Ripoti mpya ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ya mwezi Aprili 2026 imeitaja Tanzania kuwa ya 3 kwa uchumi wake kupanda Afrika Mashariki

Kulingana na takwimu hizo, uchumi wa Tanzania unatarajiwa kukua kwa kasi ya asilimia 6.6 mwaka 2026, kiwango ambacho ni kikubwa ikilinganishwa na wastani wa ukuaji wa nchi nyingi za Kusini mwa Jangwa la Sahara. Makadirio hayo yanaonyesha kuwa kasi hiyo itazidi kuongezeka hadi kufikia asilimia 6.7 mwaka 2027.

Kulingana na ripoti ya IMF, msimamo wa nchi za ukanda huu kulingana na asilimia ya ukuaji wa Pato la Taifa (GDP) ni kama ifuatavyo:

  1. Uganda: Inashika nafasi ya kwanza kwa makadirio ya ukuaji wa 7.5%.
  2. Rwanda: Inafuatia katika nafasi ya pili ikiwa na ukuaji wa 7.2%.
  3. Tanzania: Inakamata nafasi ya tatu kwa ukuaji thabiti wa 5.9%.
  4. Kenya: Inashika nafasi ya nne ikiwa na ukuaji wa 4.5%.
  5. Burundi: Inashika nafasi ya tano ikiwa na ukuaji wa 3.8%.

Picha ya Jumla Afrika na Changamoto Zilizopo​

Wakati Afrika Mashariki ikichanja mbuga, mataifa makubwa kiuchumi kama Nigeria na Afrika Kusini yanatarajiwa kuwa na ukuaji wa kusuasua wa asilimia 3.2 na asilimia 1.4 kwa mwaka 2026.

Matarajio ya Mwaka 2027​

Tanzania inatarajiwa kupunguza pengo hilo ifikapo mwaka 2027, ambapo kasi yake itaongezeka hadi 6.7%, huku mataifa mengine makubwa ya Afrika kama Nigeria (3.1%) na Afrika Kusini (1.4%) yakibaki nyuma sana

View attachment 3574218

Kusoma ripoti nzima, pitia hapa

=======================

After a strong 2025 with regional growth estimated at 4.5 percent, sub-Saharan Africa entered 2026 reaping the benefits of hard-won stabilization gains.

But the war in the Middle East has clouded the outlook. The shock has caused a rapid increase in key commodity prices, particularly in fuel and fertilizer. Poverty, food insecurity, and other social indicators, already weakened by the pandemic, face renewed headwinds from declining foreign aid and rising food prices.

Regional growth is expected to decline to 4.3 percent in 2026 with significant heterogeneity across countries. Downside risks are significant amid high global uncertainty and regional macroeconomic vulnerabilities.

Policy must focus on addressing the shock in the near term and building resilience over the medium term.

Source: IMF
Kwenye suala la Uchumi,SSH hajawahi kufeli.
 
Dah umemuwahi dogo "mytake" choice ChoiceVariable kuuleta huu uzi.

adriz de mbusii
 
Sas
Hata ungeandika pumba gani ila ukweli ni kwamba namba haijawahi danganya sawa bwana nyumbu?sa

Sasa bw. chawa naomba kuuliza, samuya hakusema kwamba mafuta USA ni dola 8000@lita??.
Usinikasirikie mie, jilaumu ww mwenyew kuwa na boss kilazaa!.
 
Back
Top Bottom