The Eric
JF-Expert Member
- Feb 23, 2019
- 6,446
- 10,976
Iko hivo kazi zake za dizaini hiyo.Msafisha kucha saloon huyo,Kesha yazowea mapaja ya Wanawake hadi hamu imekataa!!
One man down.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Iko hivo kazi zake za dizaini hiyo.Msafisha kucha saloon huyo,Kesha yazowea mapaja ya Wanawake hadi hamu imekataa!!
HahahaWakuu kutokana na shughuli zangu nimekuwa nikikuta na kila aina ya wanawake wazuri kiasi cha sasa kila mwanamke hata awe mzuri kiasi gani namuona wa kawaida sana sijaona mwanwmke wa kunitetemesha kiasi cha sasa wanawake wazuri wengi nawaona kama washikaji tu.
Wakuu natamani nitoke kwenye hii hali maana naona kama nawadharau sana mademu kuna demu mmoja mpangaji mpya ni mzuri sana ila mimi namdharau namuona kawaida sasa hii hali demu imeuuma ukizingatia wengi wanamshobokea sana ila mimi anaona sina shobo nae hadi anajiuliza sana maswali.