Kulingana na shughuli zangu, Wanawake wazuri nawaona wa kawaida

Aliyekwambia kuna watu au wanawake ambao si wa kawaida alikudanganya. Binadamu wote ni wa kawaida. Wote tuko sawa. Sasa wewe endelea kutafuta ambaye si wa kawaida
 
Umejuaje kama anaumia sana?
Mwanamke uzuri wake na ubaya wake kimuonekano n wewe unavyomchukulia.

Unaweza kumuona mzuri na wenzako wakamuona wa kawaida sana.
Piga kazi kaka, tafuta pesa.
 
Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…