Wewe tembea ukiwaaminisha ndugu zako kwamba Tanzania hakuna Covid19, waache wanaoamini ipo waendelee kuhamasishana wachukue tahadhari, ipo siku mwenye akili atajulikana kati yenu.Boss kwani huu uzushi juu ya Covid 19 unaletwa na akina nani?
Hapo ndipo mnapotosha na kulisha sumu mbaya wanosoma hili badiko lako.We kilaza Uingereza imepiga marufuku Watanzania kuingia nchini kwao sababu ya corona,undhani walishauriwa na Lissu au Mbowe? 😫
Labda anajua wapinzani wameleta Corona .Nchi haina upinzani acha kulia lia we kilaza.Naona wiki hii unawawaza wapinzani tu....una mimba ya Bananga nini?
Chapa kazi wapinzani hawapo wamekuacha uchape kazi acha kulia lia.
Watu wengine mna akili za kuku. unapoongozwa na mjinga na mpumbavu maana Yake wewe ni punguani kuliko kiongozi wako.Tanzania awamu hii tumepatwa na laana. Wajinga na wanafiki wamepewa mamlaka ofisi mbalimbali. Halafu wananchi wanashauriwa na baadhi ya wapumbavu kuwa wawasubirie hao wajinga watoe kauli kuhusiana na uhai wao.
Corona ipo. Chukua tahadhari. Usiku huu imemchukua RC.
Wewe ni mpumbafu mwili mzima wapinzani unawaota wa nini?Ndugu yangu kwa nini unaleta kashfa za kipuuzi?
Harufu ya choo kibofu huwa haizuiliki kwa perfumeSawa, sio kutumia njia za kipumbavu,kuliombea mabaya taifa letu kisa tu mnajifanya wapinzani?
Haukuletwa na upinzani. Gov ili declare kuwa ipo. Wkt out break ya covid.Boss kwani huu uzushi juu ya Covid 19 unaletwa na akina nani?
Waafrika mafua sio ishu mazingira ya joto yametubeba,msoto wa maisha umeifanya miili kuwa suguCovid 19? Unafahamu inavyoambukizwa na kusambaa?
Wapi wameliombea mabaya?Sawa, sio kutumia njia za kipumbavu,kuliombea mabaya taifa letu kisa tu mnajifanya wapinzani?