Kuliombea mabaya Taifa letu haisaidii Upinzani kukubalika hapa Tanzania

Hao waingereza waulize Wana wagonjwa wangapi wa Corona na vifo vingapi vya CORONA?
Wazungu wanataka taarifa/ takwimu, zao ziko wazi, majirani zetu ziko wazi zako vipi? Sio kuweka taarifa wazi ndio tuweke karantini, hapana bali watu wanaweza kuongeza umakini wa kujikinga na kupunguza zatizo, leo watu bila kujali kila tukio ujikusanya kama kumbikumbi ni shida!
 
Kuna kasumba mbaya sana imejengeka ndani ya wafuasi na wanachama wa vyama vya upinzani kuwa na akili mbovu ya kuwa wanalitakia mabaya taifa letu, kisa tu wao wamepoteza mvuto wa kisiasa hapa Tanzania....
Hakuna mpinzani anayeipmbea nchi mabaya ni mawenge yenu ya kuiba kura. Wapinzani wako kimyaa wakisubiri Tanzania kama uraya na Arusha kama karufonyia kama CCM walivyoahidi.

Kuhusu Corona nafikiri anayeficha ukweli kuhusu status ya nchi yetu kuhusu gonjwa hili huyo ndiye anayeiombea nchi yetu mabaya. Fanyeni kazi wacheni maneno. Kwanza hao wapinzani wanazungumzia kupitia jukwaa gani ilihali media zoooote zinasifu na kuabudu Chato gang?
 
Hao waingereza waulize Wana wagonjwa wangapi wa Corona na vifo vingapi vya CORONA?
Hoja ya msingi ni jee Uingereza kuwazuia Watanzania kuingia nchini mwao wametumwa na wapinzani au ni factors walizozibaini wenyewe kwani wana ubalozi wao hapa. Wacheni akili ya mbuni kuficha kichwa mchangani ilhali makalio na kiwiliwili chote kiko nje.
 
Hao waingereza waulize Wana wagonjwa wangapi wa Corona na vifo vingapi vya CORONA?

Hoja nyepesi nyepesi kama hizi utaishia kuungwa mkono na watu kama kina magonjwa mtambuka.

Kwani unauliza Uingereza wana wagonjwa na vifo vingapi ili ikusaidie wewe nini? Kwani sisi tunacho hata kigezo cha kufahamu hali yetu iko vipi na tunaelekea wapi?

Kama taifa issue za ugonjwa huu zilipopokwa toka kwa wataalamu hadi kila mwenye mdomo akashika hatamu tuliko ndiyo madhara yake.

Hata hivyo siku hazigandi. Pana siku yaja atawajibika mtu.
 
Na siku hiyo haiko mbali,mdudu anakamua kinoma na uzuri anakula vichwa vilivyonona.
 
Wanafiki kama wewe ndio wanaangamiza taifa.
 


Tofautisha Taifa na CHAMA TAWALA NA SEREKALI.
Kwanini hamuelimiki?
 
Mwisho wenu ni india na china ili mkajifunze siasa,EU nao watatoa tamko mda si mrefu...ccm awamu hii imejaa wasomi sana
 
Nani anawaombea mabaya? Na Upinzani Kwani bado Upo? CCM na Magufuli si wanakubalika kwa Asilimia 100? Hofu ya nini sasa?

Mambo hayaendi mnaanza kudai mnaombewa Mabaya, pumbavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…