Kuliombea mabaya Taifa letu haisaidii Upinzani kukubalika hapa Tanzania

Kalale kama hujui
Ona tu majibu yako.. kama vile una gubu. Hii post bro umejaza malalamiko yasiyo na msingi.
Wapinzani hiv wapinzani vile.. wkt safari hii hawapo.. wamekaa kimya.

Kama D.Trump akizingua lawama anadondeshe qatu ambao hawahusiki.. na ww ndio hivyo hivyo.. unatafuta wapinzani. Jifunze kutake responsbility ya ku deal na madudu yako
 
Maneno ya mkosaji,sijui bakuri lenu mtalitembezaje?
Tutembeze bakuli kwa ilitupewe masheriti ya kukubali ndoa za jinsia moja na kukubali chapa ya mpinga kristo? Hatuko hapa kwa kutimiza unabii wa danieli na ufunuo wa yohana. Maendeleo ya inchi yataletwa na wazawa wenyeweee
 
Upinzani gani tena jamani mataga si mlishasema upinzani umefutika kabisa hapa Tanzania???
 
Tutembeze bakuli kwa ilitupewe masheriti ya kukubali ndoa za jinsia moja na kukubali chapa ya mpinga kristo? Hatuko hapa kwa kutimiza unabii wa danieli na ufunuo wa yohana. Maendeleo ya inchi yataletwa na wazawa wenyeweee
Naona unaishi Sudan ya kusini
 
Naona umekomaa sana na wapinzani dada yangu. Mbona mlishawaondoa kwenye system wka sababu walikuwa anachelewesha maendeleo? Fanyeni kazi mlizowaahidi wananchi kwa kadri ya ilani yenu. Wapinzani wapo kimya, hakuna anayeongea. Pigeni kazi
 
Kawaulize mawakala wenu wa mpinga kristo hao mabeberu wenu mnaowaabudu.
Mabeberu mnawabudu nyie ambao wanafadhili serikali yenu kuanzia ujenzi wa matundu ya choo hadi vidonge vya uzazi vya kumeza na kupandikiza
 
Mabeberu mnawabudu nyie ambao wanafadhili serikali yenu kuanzia ujenzi wa matundu ya choo hadi vidonge vya uzazi vya kumeza na kupandikiza
Si nyinyi wenyewe mnaowatukuza kama wakizuia misaada tutahangaika? Waache tuuu kutoa hata hizo dawa za uzazii. Kama watatoa misaada bila ya masheriti ya kutimiza unabiii wa mpinga kristo tutapokeaaa saaanaa. Ila kama watatoa misaada yenye masheriti tutakataaa.
 
MITANO TENA MKUU 😛 😛😛

 
Rc yupi?
 
Watanzania wawap? Sema we ndo hipend na roho yako mbaya
 
Ukimaliza cku zako unatakiwa kwanza kuoga
 
Kwanza nani anaenda wingereza sasa hivi?
Na anaenda kufanya nini wakati wenyeji ni wagonjwa?
Uingereza imepiga marufuku Watanzania kuingia nchini kwao sababu ya corona, undhani walishauriwa na Lissu au Mbowe? 😫
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…