Mtu akishang'atwa na nyoka ndugu yangu..........na wengi walio na wasiwasi wamewahi kutendwa...ukianzisha mahusiano usijenge mawazo ya kutendwa. Ukiwazia hayo mambo utajikuta wewe ndio unaanza usaliti.
Mtu akishang'atwa na nyoka ndugu yangu..........na wengi walio na wasiwasi wamewahi kutendwa...
Ila nimekuelewa mwalimu!!
Hii comment ya Shantel nimeikuta kwenye thread moja humu MMU...Inaweza kuwa na msaada..
"Tatizo hatujui umuhimu wa kuwa na mtu aliyekupenda yeye kwanza hatujui kwamba aliyekupenda kwanza ndiye unaweza ishi nae kwa amani kuliko uliyempenda wewe kwanza, atakuwa na jeuri fulani hv"
sikubaliani nayo.
Kumbe alitegemea kuvuna machungwa wakati alipanda ngogwe? Natamani niwafahamu hao wanaume wote nitoboe hii siri na awakose wote, na wa tatu naye ampitie hivyohivyo....!Kuna best(msichana) rafiki pia ni ndugu kwangu, alikuwa na mpenz toka yeye akiwa kidto cha tano na uyo mkaka anafanya kazi sehemu fulani hivi, yule mkaka alikuwa msaada mkubwa kwa uyo binti ile sana kwa kuwa uyo binti hana wazazi na pia uyo kaka anampenda na anasaidia uyo binta mpaka sasa.
Tatizo linakuja ni kuwa uyo dada yupo chuo sasa kakutana na mtu mwingine na uyo mtu mpya kampagawisha ile mbaya mpaka anamuona yule kaka mshamba na sasa hampendi kama zamani ila linamkondesha ni ile msaada aliyokuwa anayompa, pia yule kaka anajua historia ya yule binti maana wametoka mbali.
Binti hana hisia za kimapenzi kwa yule kaka na yule kaka hasikii wala haoni kwa yule binti pia anataka kutangaza ndoa sasa uyu dada yupo njia panda kumwambia ukweli au kubwa zaid ni ufadhili aliokuwa naupata ndo shida kwake
Anatema big G kwa karanga za kuonjeshwaSikio la kufa huwa halisikii dawa, nakwambia wadada wa hivi huwa wanajutia sana badae
ingekuwa inawezekana watu waanze mahusiano wakifika chuo ingekuwa vizuri zaidi. Imagine wengine wanasomesha mtu tangu form one ila akifika chuo anakuwa hamuhitaji jamaa.
Tatizo nini? Kwanini alaumiwe binti? swala la kupevuka zaidi kiakili na kujua aina ya mwanaume unayemuhitaji huwa ni sababu kuu hapa.
Na wewe ulivyopevuka akili ulitosa mtu nini?
Manake, mhh!
nilimwambia kosa alishafanya la kuwa na mahusiano mengine hivyo amwabie tu ukweli uyo mtu ila asije kuingia katiaka ndoa ambayo hatakuwa na furaha nayo
ingekuwa inawezekana watu waanze mahusiano wakifika chuo ingekuwa vizuri zaidi. Imagine wengine wanasomesha mtu tangu form one ila akifika chuo anakuwa hamuhitaji jamaa.
Tatizo nini? Kwanini alaumiwe binti? swala la kupevuka zaidi kiakili na kujua aina ya mwanaume unayemuhitaji huwa ni sababu kuu hapa.
hapa hamunishida kabisa....sasa huyu jamaa mwingine alikuwa anayafanya hayo kwa mapenzi yake. hakulazimishwa. hivyo basi lazima akuali kuwa investment inaweza lipa hao hapana sasa kwa bahati mbaya imekula kwake.
ni bora huyu dada amwambie jamaa ukweli maana kama ataingia kwenye ndo na huyo jamaa ktachotokea ni kwamba demu atendelea kucheat na jamaa na mwishio itakua sio ndoa tena.
ni ngumu lakini inabidi afanye huo uamuzi!!!
halafu weweeeee! Muone vile.
Kuna binti mmoja aliwahi kunigeuza stationary huwa nikikumbuka sina hamu ya kumsaidia mwanamke yeyote before ndoa!
ndiyo umejibu hivyo?