Kulipa fadhila kunamkondesha

Kulipa fadhila kunamkondesha

ukianzisha mahusiano usijenge mawazo ya kutendwa. Ukiwazia hayo mambo utajikuta wewe ndio unaanza usaliti.
Mtu akishang'atwa na nyoka ndugu yangu..........na wengi walio na wasiwasi wamewahi kutendwa...
Ila nimekuelewa mwalimu!!
 
Mtu akishang'atwa na nyoka ndugu yangu..........na wengi walio na wasiwasi wamewahi kutendwa...
Ila nimekuelewa mwalimu!!

wasiwasi huligawanya penzi. Ahsante kwa kunielewa student.
 
Hii comment ya Shantel nimeikuta kwenye thread moja humu MMU...Inaweza kuwa na msaada..

"Tatizo hatujui umuhimu wa kuwa na mtu aliyekupenda yeye kwanza hatujui kwamba aliyekupenda kwanza ndiye unaweza ishi nae kwa amani kuliko uliyempenda wewe kwanza, atakuwa na jeuri fulani hv"

sikubaliani nayo.
 
Kuna best(msichana) rafiki pia ni ndugu kwangu, alikuwa na mpenz toka yeye akiwa kidto cha tano na uyo mkaka anafanya kazi sehemu fulani hivi, yule mkaka alikuwa msaada mkubwa kwa uyo binti ile sana kwa kuwa uyo binti hana wazazi na pia uyo kaka anampenda na anasaidia uyo binta mpaka sasa.

Tatizo linakuja ni kuwa uyo dada yupo chuo sasa kakutana na mtu mwingine na uyo mtu mpya kampagawisha ile mbaya mpaka anamuona yule kaka mshamba na sasa hampendi kama zamani ila linamkondesha ni ile msaada aliyokuwa anayompa, pia yule kaka anajua historia ya yule binti maana wametoka mbali.

Binti hana hisia za kimapenzi kwa yule kaka na yule kaka hasikii wala haoni kwa yule binti pia anataka kutangaza ndoa sasa uyu dada yupo njia panda kumwambia ukweli au kubwa zaid ni ufadhili aliokuwa naupata ndo shida kwake
Kumbe alitegemea kuvuna machungwa wakati alipanda ngogwe? Natamani niwafahamu hao wanaume wote nitoboe hii siri na awakose wote, na wa tatu naye ampitie hivyohivyo....!
 
Huyo rafiki yako ni Malaya tu, anajuaje huyo aliyempata sasa kama anamapenzi ya kweli?
 
Wewe umemshauri vipi???
nilimwambia kosa alishafanya la kuwa na mahusiano mengine hivyo amwabie tu ukweli uyo mtu ila asije kuingia katiaka ndoa ambayo hatakuwa na furaha nayo
 
ingekuwa inawezekana watu waanze mahusiano wakifika chuo ingekuwa vizuri zaidi. Imagine wengine wanasomesha mtu tangu form one ila akifika chuo anakuwa hamuhitaji jamaa.
Tatizo nini? Kwanini alaumiwe binti? swala la kupevuka zaidi kiakili na kujua aina ya mwanaume unayemuhitaji huwa ni sababu kuu hapa.

Na wewe ulivyopevuka akili ulitosa mtu nini?
Manake, mhh!
 
nilimwambia kosa alishafanya la kuwa na mahusiano mengine hivyo amwabie tu ukweli uyo mtu ila asije kuingia katiaka ndoa ambayo hatakuwa na furaha nayo

nadhani uko sahihi
 
ingekuwa inawezekana watu waanze mahusiano wakifika chuo ingekuwa vizuri zaidi. Imagine wengine wanasomesha mtu tangu form one ila akifika chuo anakuwa hamuhitaji jamaa.
Tatizo nini? Kwanini alaumiwe binti? swala la kupevuka zaidi kiakili na kujua aina ya mwanaume unayemuhitaji huwa ni sababu kuu hapa.

Sikiza dada Husninyo hizo zinakua ni akili za kitoto,
Ndo maana binti akishakua anachagua ninani wa kuishi na yy
Mbona stori kibao tu zipo m2 anachumbiwa na mwanaume ambae hampendi ili kuwalizisha wazazi anaamua aolewe lkn kinachofata kwenye ndoa jamaa mwenyewe anajuta cz alifosi.
na swala la kusomesha yy huyo kaka alikuwa ni mpnz wake, ingekua ajabu kama mpenzi anauwezo alafu anashindwa kumsaidia mwenzie
Wanaume walio wengi siku hizi wanasaidia wa2 ili baadae wapate pa kusemea.
siyo vzr moyo ukikataa umekataa na sio vzr kufosi mapenzi tena namshauri huyo dada amwambie tu jamaa kifuatacho.
 
ndani ya miezi sita huyo dada lazima ajute alichomfanyia mwenzie sio sahihi, chezea mapenzi, unaweza hisi umependwa kumbe unatapeliwa tu
 
Haya nimeyaona kwa msichana mmoja ambaye anafanya kazi saluni
Fulani Pale Buguruni Jina (.....) alikuwa na mpenzi wake lakini alibadilika
akampenda jamaa mmoja ambaye alikuwa anasoma DIT, Mwaka huu
ni kama wiki mbili au tatu zimepita ndio huyu dada kagundua kuwa
kumbe yule jamaa ana familia huko kwao Iringa................ Penzi limekufa
kwani ndugu wa mwanaume washamweleza ukweli huyu dada kuwa jamaa
kawaambia hataki wawe na uhusiano nae wa karibu tena kwani ile ilikuwa
ni dharura wakati yuko mbali na mkewe.
 
Asahau kuolewa. Mtu mpya atakuja kusepa in future. What goes around comes around!

hapa hamunishida kabisa....sasa huyu jamaa mwingine alikuwa anayafanya hayo kwa mapenzi yake. hakulazimishwa. hivyo basi lazima akuali kuwa investment inaweza lipa hao hapana sasa kwa bahati mbaya imekula kwake.

ni bora huyu dada amwambie jamaa ukweli maana kama ataingia kwenye ndo na huyo jamaa ktachotokea ni kwamba demu atendelea kucheat na jamaa na mwishio itakua sio ndoa tena.
ni ngumu lakini inabidi afanye huo uamuzi!!!
 
Kuna binti mmoja aliwahi kunigeuza stationary huwa nikikumbuka sina hamu ya kumsaidia mwanamke yeyote before ndoa!
 
Back
Top Bottom