sasa kipi bora? kama hajisikii kumpenda ajilazimishe kufunga nae ndoa igeuke disaster au aolewe na ane mfeel? acheni kumhukumu,...haya yapo na yanatokea..yawezekana kabisa circumstances na umaskini ndo uliomforce kuwa na huyo jamaa kwa kuwa hakuwa na msaada lakini hakuwa moyoni kwake. je aolewe kwa lengo la kulipa fadhila?mnadhani wawili hao watakuwa na furaha maishani? and what about watoto watakaozaliwa kwenye familia ambayo haina upendo? ni bora tu amwambie anavyojisikia na kuvunja uhusiano bila hivyo atakuwa anatengeneza bomu ambalo litalipuka tu one day.