FLOKI VIKING
Member
- Jul 9, 2018
- 14
- 7
Bado nyingiMillion tu Inatosha
TOFAUTISHA SASA MAHARI NA KUKEKETA VITU VIWILI TOFAUTI.......UNAANGALIA IPI INA ATHARI KUBWA UNAIPOTEZEAHata utamaduni wa kukeketa wanawake upo tangu enzi kwenye zile jamii wanazokeketa.
Je huo utamaduni wa kukeketa usipigwe vita kwa sababu upo tangu enzi za zamani.
Think big.
Mkuu asante kwa hoja ila sijaona huo mstari ktk bibleKimaumbile, Mwanamke kaumbwa kwa ajili ya Mwanaume na Mungu ndie aliyetaka hiyo mahali itolewe kwa mwanamke pindi unapomuhitaji.
Historia inasema Adam alipomuona Hawa alitaka kumvamia ila Mungu akamzuia na kumuambia kwanza atoe mahali kwa Hawa. Kwa hiyo mahali ni haki kupewa mwanamke tangu kuumbwa kwetu kwa lugha nyingine tunasema ni Wajibu sisi wanaume kutoa Mahali kwa Mwanamke unaehitaji kumuoa ila siku hizi wanawake wakishirikiana na wazazi au walezi wao wamefanya ni Dili la kutupiga sisi wanaume
Sasa wewe suala la kulipa Mahali umelitoa wapi km Bible haikuandika, kwetu sisi Waislaam kitabu chetu kinatuambia tutoe Mahali pindi tunapowataka wanawake.Mkuu asante kwa hoja ila sijaona huo mstari ktk bible
Sasa wewe ndo pumbafu!![emoji23] [emoji23] [emoji23] kuoa kwa mahali ndo udhalilishaji yaani wewe una kuwa unauzwa kwa million mbili na wewe unachekelea tuUdhalilishaji huo vipiii unataka kuoa binti wa watu lipa mahari hakuna cha bure
Sasa wewe ndo pumbafu!![emoji23] [emoji23] [emoji23] kuoa kwa mahali ndo udhalilishaji yaani wewe una kuwa unauzwa kwa million mbili na wewe unachekelea tu
Imeandikwa wapi na Mimi nikasomeKimaumbile, Mwanamke kaumbwa kwa ajili ya Mwanaume na Mungu ndie aliyetaka hiyo mahali itolewe kwa mwanamke pindi unapomuhitaji.
Historia inasema Adam alipomuona Hawa alitaka kumvamia ila Mungu akamzuia na kumuambia kwanza atoe mahali kwa Hawa. Kwa hiyo mahali ni haki kupewa mwanamke tangu kuumbwa kwetu kwa lugha nyingine tunasema ni Wajibu sisi wanaume kutoa Mahali kwa Mwanamke unaehitaji kumuoa ila siku hizi wanawake wakishirikiana na wazazi au walezi wao wamefanya ni Dili la kutupiga sisi wanaume
Hamna bwana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ,siwezi nikakutukana u haven't caught my joke, sijakutukana Mimi nakuheshimu sana Dada anguJamani naona leo umeamua kunitukana sawa bwana
Hamna bwana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ,siwezi nikakutukana u haven't caught my joke, sijakutukana Mimi nakuheshimu sana Dada angu
Dyudyu nayo unaiheshimu?Hahaha asante mkuu kwa kuniheshimu mm pia nakuheshimu sana
Dyudyu nayo unaiheshimu?
Unataka ugomvi na single mothers,ohoooo!!! Ngoja waje wamwage mapovu hapaSwali chokozi,km mdada kaisha zalishwa na MTU mwingine unamlipia mahari ?
Au mwanamke yupi anayestahili mahari,aliyetayari na mtoto au bado?
We ndio unanichonganisha sasaUnataka ugomvi na single mothers,ohoooo!!! Ngoja waje wamwage mapovu hapa
Kwahiyo waki na Isaka, Yakobo, Yusufu, Daudi, Samsoni walivyo toaga mahari, walikua wapagani?Utoaji wa mahari ni tamaduni za kale na kipagani na zilishapitwa na wakati, hao wazazi hawamjui Mungu kama ulivyosema ya kwamba ni wacha Mungu siyo kweli hao ni wapagani tu sema wamejificha kwenye mwamvuri wa dini