Nimekua nikitaka kununua mashine kwa ajili ya kilimo toka China kwenye mtandao wa Alibaba lakini makampuni yote niliyo wasiliana nayo wanapokea malipo kwa T/T pekee. Hawataki kutumia PayPal au secure payment (zamani escrow) ya Alibaba.
Hii ime niogopesha kwa sababu nikilipia kwa T/T nakosa buyer's protection kwa pesa yangu. Ushauri tafadhali kama umewahi kukutana na changamoto kama hii. Shukraan
suppliers wengi wanakubali paypal kwa mzigo unaokuja kwa ndege only ( express shipment) but kwa mzigo wa meli sea freight hakuna supplier anaekubali kusubiri hela zake muda mrefu..
use your brain kumu asses supplier then ikikuridhisha atleast 70% anaaminika mlipe tu..
mi nanunua sana vitu na sijawai kutapeliwa kiukwelu na nawalipa kwa TT hiyo hiyo...
business ni risk na uwe na akili ya ku asses risk kabla hujafanya chochote
mkuu bora uende hukohuko china maana unaweza kuingizwa chaka la macho bure ukalia bureAsante kwa ushauri mkuu, mashine ninayo hitaji ni combine harvester .
Asante kwa ushauri mkuu, mashine ninayo hitaji ni combine harvester .
suppliers wengi wanakubali paypal kwa mzigo unaokuja kwa ndege only ( express shipment) but kwa mzigo wa meli sea freight hakuna supplier anaekubali kusubiri hela zake muda mrefu..
use your brain kumu asses supplier then ikikuridhisha atleast 70% anaaminika mlipe tu..
mi nanunua sana vitu na sijawai kutapeliwa kiukwelu na nawalipa kwa TT hiyo hiyo...
business ni risk na uwe na akili ya ku asses risk kabla hujafanya chochote
Bisiness ni risk lakini inategemea na amout unayotoa...kama ni peaa kidogo haina shida lakini kwa pesa nyingi haifai na wewe unaona hapa unatapeliwa na bado unasema business is risk.
ndio maana nimemwambia ajiridhishe kwa kumuassess supplier reputation..
kitu cha dola 2000 ukifate china.. gharama ya nauli tu viza na malazi inazidi hiyo hela..
hakuna wa kukutapeli ukiwa mwangalifu.. najua muoga sababu ni first time anaagiza kitu..
ila ukiagiza mara moja tu unajua game ilivyo..