Kulipia bidhaa toka China kwa T/T

Kulipia bidhaa toka China kwa T/T

ipyax

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
4,247
Reaction score
6,578
Nimekua nikitaka kununua mashine kwa ajili ya kilimo toka China kwenye mtandao wa Alibaba lakini makampuni yote niliyo wasiliana nayo wanapokea malipo kwa T/T pekee. Hawataki kutumia PayPal au secure payment (zamani escrow) ya Alibaba.
Hii ime niogopesha kwa sababu nikilipia kwa T/T nakosa buyer's protection kwa pesa yangu. Ushauri tafadhali kama umewahi kukutana na changamoto kama hii. Shukraan
 
Usijaribu kufanya hivyo utakuwa umepoteza pesa yako..machine gani unayohitaji?
 
suppliers wengi wanakubali paypal kwa mzigo unaokuja kwa ndege only ( express shipment) but kwa mzigo wa meli sea freight hakuna supplier anaekubali kusubiri hela zake muda mrefu..

use your brain kumu asses supplier then ikikuridhisha atleast 70% anaaminika mlipe tu..

mi nanunua sana vitu na sijawai kutapeliwa kiukwelu na nawalipa kwa TT hiyo hiyo...

business ni risk na uwe na akili ya ku asses risk kabla hujafanya chochote
 
Asante kwa ushauri mkuu, hela za bank hizi nimeona bora nifunge safari tu niende China.
 
Usijaribu kufanya hivyo utakuwa umepoteza pesa yako..machine gani unayohitaji?

Asante kwa ushauri mkuu, mashine ninayo hitaji ni combine harvester .
 
suppliers wengi wanakubali paypal kwa mzigo unaokuja kwa ndege only ( express shipment) but kwa mzigo wa meli sea freight hakuna supplier anaekubali kusubiri hela zake muda mrefu..

use your brain kumu asses supplier then ikikuridhisha atleast 70% anaaminika mlipe tu..

mi nanunua sana vitu na sijawai kutapeliwa kiukwelu na nawalipa kwa TT hiyo hiyo...

business ni risk na uwe na akili ya ku asses risk kabla hujafanya chochote

Bisiness ni risk lakini inategemea na amout unayotoa...kama ni peaa kidogo haina shida lakini kwa pesa nyingi haifai na wewe unaona hapa unatapeliwa na bado unasema business is risk.
 
ndio maana nimemwambia ajiridhishe kwa kumuassess supplier reputation..

kitu cha dola 2000 ukifate china.. gharama ya nauli tu viza na malazi inazidi hiyo hela..

hakuna wa kukutapeli ukiwa mwangalifu.. najua muoga sababu ni first time anaagiza kitu..

ila ukiagiza mara moja tu unajua game ilivyo..
 
Asante...
 
Kwa Combine harvester Bora uende China maana ukipigwa hiyo $ 15,000/= na Mnigeria lazima uwe chizi.
 
Kama unahitaji combine harvester mm ninayo used nauza massey farguson ipo daresalaam.. Ni yazamani ina ubora wa hali ya juu kuliko hata hizi za kisasa za kichina.. Nitafute Ili ukaione..+255714242879
 
Back
Top Bottom