Kulipiwa tena kwa leseni za biashara ndogondogo

SAUL

Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
26
Reaction score
2
wadau miaka ya nyuma kidogo serikali ilifuta kulipia leseni za biashara ndogo chini ya milioni saba kila mwaka .baada ya bajeti hii huku kilosa afisa biashara ametangaza leseni ndogo zisizo na mwisho .zimekwisha muda wake.zilipwe upya kwa mwenye uzoefu haya mambo nikweli?naombeni mnijuze
 
Ni kweli,hizo leseni ambazo zilikuwa hazina mwisho wa kumalizika walisha zifuta,kwa sasa unakwenda kulipia kila muda unapokwisha,kutegemea na aina ya biashara,nyingine ni za miezi 3,6 na mwaka.
 
asante kwa ufafanuzi itabidi tulipie mkuu
 

Habari ndiyo hiyo, zamani nakumbuka tulikata leseni mara moja tu, tena bure (ispokuwa mchango elf5 ya kuchangia shule za kata), last week imenilazimu kulipia elf 45, na inaexpire ndani ya mwaka mmoja tu natakiwa nilipie tena....hili lisingekuwa na shida kama na leseni za kuchimba madini walizopewa mabebari zingekuwa zinaexpire kila mwaka walipie tana, lakini anayenyonywa ni mnyone tu....mamamae! sisi ni mammbwa!
 
Kaka hiyo leseni ya elf45 ni ya biashara gani? Maana mm nina kibanda cha nguo za watoto na wamekuja tra wanataka laki1,na wamekuja tena wa2 wa lesen na hesabu zao wanataka 72 per year,sa sielewi chochote na nimefungua biashara nina 2month so bdo mgeni sana,msaada tafadhali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…