Former Nyeri Town MP Ngunjiri Wambugu ameibua mjadala mpya kuhusu madai ya Rigathi Gachagua kutaka kulipwa Sh450 million baada ya impeachment yake ya 2024.
Kwa maoni yake, Wambugu anashangaa: how do you fight serikali politically, but at the same time unadai kulipwa mamilioni kutoka hiyo hiyo serikali? Anasema hii ni contradiction kubwa especially ikizingatiwa Gachagua bado anaendelea kuikosoa serikali na DP Kithure Kindiki publicly.
Gachagua, ambaye aliondolewa madarakani baada ya Senate kuidhinisha mashtaka dhidi yake, anadai impeachment ilikuwa unconstitutional. Lakini sasa ameshift strategy hataki kurudi office, anataka compensation for the remaining term hadi 2027. Hapo ndipo hizi Sh450M zinatoka salary, allowances, pension na nyinginezo.
Lakini swali kubwa kwa wengi ni hili: If alisema aliondoka juu serikali ilikuwa “mbaya”, why still demand kulipwa for that same term?
Wambugu anaonya kuwa hii mixed messaging legal upande mmoja na political upande mwingine inaweza m-cost case yake court. Lakini interesting twist? Anasema kama legal threshold itafikiwa, serikali inaweza tu kulipa hiyo pesa.
Sasa debate iko wazi: Je, hii ni haki ya kisheria ama ni mchezo wa siasa? Wananchi wanauliza who really pays the price in the end?
Source: Nairobianprime.online