O OTL Member Joined Nov 22, 2012 Posts 39 Reaction score 3 Jan 22, 2013 #1 Wana jamvi naomba kuuliza sheria ya kazi inasemaje juu ya kulipwa likizo yaani ela ya nauli.. Mwenye kujua tafadhari. Je ni lazima kwa tanzania au imeweka mwajiri achague?
Wana jamvi naomba kuuliza sheria ya kazi inasemaje juu ya kulipwa likizo yaani ela ya nauli.. Mwenye kujua tafadhari. Je ni lazima kwa tanzania au imeweka mwajiri achague?