Kulipwa likizo

Kulipwa likizo

OTL

Member
Joined
Nov 22, 2012
Posts
39
Reaction score
3
Wana jamvi naomba kuuliza sheria ya kazi inasemaje juu ya kulipwa likizo yaani ela ya nauli..
Mwenye kujua tafadhari.
Je ni lazima kwa tanzania au imeweka mwajiri achague?
 
Back
Top Bottom