Kulipwa mshahara wa Ubunge huku ukiwa huna sifa kikatiba ya kuwa Mbunge siyo uhujumu uchumi?

Sasahivi tunaendeshwa na mtu na siyo sheria na taratibu
Endapo mtu atalipwa mshahara na posho Kama Mbunge huku kikatiba akiwa Hana sifa ya Ubunge awezi kushtakiwa kwa kosa la uhujumu uchumu pale atakapoingia kiongozi mzalendo na anayesimamia katiba?

Kama haiwezekani kushtakiwa kwanini watumishi wa Umma wanaokosa sifa zakuendelea kuwa watumishi kwa mujibu wa katiba na sheria wasiendelee kulipwa posho na mishahara pale katibu mkuu kiongozi na hazina watakapojisikia kuwalipa?

Ni sahihi kila kiongozi akawa na mamlaka yakuelekeza matumizi ya fedha za umma hata Kama Kuna ukiukwaji wa sheria na katiba?
Tuanzishe mtihani wa kufuzu kujiunga na ubunge, mtu akifeli atupwe nje.Maana hata kujua kusoma na kuandika ni kigezo ambacho wengi wao hawana .. REFERENCE (FRANCIS KUMBA NDULANE).

Back
Top Bottom