Kulungu Mdogo atembea kwenye nyumba ya wafugaji

ldleo

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2010
Posts
1,116
Reaction score
1,121
Katika malisho ya nyanda za juu kwenye Kijiji cha Menma, Kaunti ya Ganzi, mkoani Sichuan China, kulungu mwenye midomo myeupe alitafuta majani kwenye malisho kwa raha akiyafuata makundi ya Nzao ya familia ya mfugaji Dawalam. Mwezi Mei 2021 kulungu yatima mwenye umri wa miezi michache alichukuliwa na Dawalam na kuachiwa kwenye mazingira ya asili.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…