Aliyewahi kuwa Diwani wa Kata ya Mtua na baadaye Kata ya Kipara Mtua, Wilaya ya Nachingwea, mkoani Lindi, Ajibu Ally Chimogo, amekutwa amefariki dunia katika shamba lake, huku kukiwa na madai kuwa ameuawa na wafugaji katika eneo hilo.
Chimogo alihudumu kama diwani wa Kata ya Mtua kuanzia...
DC SHAKA AONGOZA OPERESHENI PORI KWA PORI ENEO LA MKADAGE
Mkuu wa Wilaya ya Kilosa, Shaka Hamdu Shaka, ameongoza operesheni kubwa ya kukamata wafugaji wavamizi kwa kutembea kwa miguu zaidi ya kilomita 15 pori kwa pori, milimani na kwenye mito, akiambatana na Kamati ya Usalama ya Wilaya...
Wananchi wa vijiji vya Magomeni na Majimaji katika Jimbo la Tunduru Kaskazini wamekutana na Mbunge wao, Ado Shaibu Ado kutoa kero zao kuhusu migogoro kati yao na wafugaji Oktoba 18, 2026.
Wameeleza kuwa wafugaji wanavamia mashamba na nyumba zao, kuwaua, kuwavunja mikono na kuwaibia mifugo, huku...
Ndugu zangu,
Tumepokea taarifa nzito kutoka Kijiji cha Chikomo, ambapo mtu mmoja ameripotiwa kupoteza maisha, watu wanane wako katika hali mbaya kiafya, huku nyumba saba zikiripotiwa kuteketea kwa moto.
Kwa mujibu wa taarifa zilizopo, hali katika Kijiji cha Chikomo ni ya wasiwasi baada ya...
Anonymous
Thread
katika
kuhusu
kundi
kutoka
mauaji
mjadala
tunduru
vita
wafugaji
wakulima
wilaya
Taarifa za awali kutoka eneo la Ndutu, Kata ya Endulen, Wilaya ya Ngorongoro, zinaeleza kuwa leo Septemba 19, 2026, simba wapatao 10 wameuawa katika tukio linalodaiwa kuhusishwa na kisasi baada ya simba hao kuwala punda wawili wa wafugaji katika eneo hilo.
Taarifa zinaonesha kwamba awali simba...
Kwa zaidi ya miaka 7 sasa wafugaji wenye makundi makubwa ya Ng'ombe wa jamii ya wamang'ati na wasukuma wamevamia na kuingiza mifugo holela kwenye vijiji vilivyopo wilayani Nachingwea mkoani Lindi.
Wafugaji hao wamekuwa wakisababisha kuvurugika mfumo wa uzalishaji katika kilimo, kuua na kujeruhi...
Anonymous
Thread
imeshindwa
kuwadhibiti
nachingwea
serikali
wafugaji
Leo nataka kugusia jambo ambalo linatupa wakati mgumu sisi wadau wa kilimo na ufugaji tunaotafuta mitaji kupitia Mfuko wa Pembejeo (AGITF).
Ukiingia kwenye tovuti ya AGITF (www.agitf.go.tz) unakuta kila kitu kimepangwa vizuri sana. Kuna fomu za kupakua (download) na maelezo ya wazi kabisa...
Mwezi wa Aprili umekuwa mwezi mkubwa zaidi wa Fuga App tangu tulipozindua.
Idadi kubwa zaidi ya watumiaji wapya kwa mwezi mmoja. Wastani wa ukuaji wa 55% kila mwezi. Na sehemu muhimu zaidi ukuaji wote ni bila matangazo ya kulipia
Hakuna matangazo ya kulipa. Hakuna kampeni. Wafugaji wanawaambia...
Habari wakuu,
Khalysh investment tusambaza chakula cha kuku cha aina zote kwa bei ya kiwandani—ubora wa hali ya juu, bei rafiki, na uhakika wa matokeo shambani.
🐔 AINA ZA CHAKULA TUNAZOTOA:
🔹 Kuku wa Nyama (Broilers)
✔️ Starter – kwa vifaranga (ukuaji wa haraka)
✔️ Grower – kuku wanaokua
✔️...
Mwigulu Nchemba amesema kuwa Sekta binafsi ni muhimu sana katika ukuaji wa Uchumi ila maafisa wa Serikali ni kama wanazidiwa maarifa hadi na wafugaji
Akitoa mfano huo amesema wafugaji mfugo ukivunjika mguu wanaufunga PoP au ndama akiacha kunyonya wanahangaika naye hadi anyonye au mfugo ukikonda...
Kwa sasa mkoa wa Mwanza unakabiliwa na mlipuko mkubwa wa homa ya nguruwe. Ugonjwa huu umesababisha hasara kubwa kwa wafugaji wengi – mabanda mengi yamesafishwa na nguruwe kufa kwa wingi.
Kutokana na hali hiyo, sisi kama Chief Farm tumechukua tahadhari kali za kibaiolojia (biosecurity measures)...
Kuna wimbi kubwa sana la wafugaji kutoka kanda yq ziwa hasa kwenye wakihamia mikoa ya kusini Lindi,Mtwara na Ruvuma kuna makundi kwa makundi ya wafugaji wa jamii ya kisukuma wakihamia mikoa ya kusini na kuanza kupora ardhi na pia wengi wao kuwadhuru wenyeji wao kitu ambacho kinaleta taharuki na...
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ametoa ufafanuzi kuhusu changamoto ya maji iliyopo kwa Wakazi wa Kijiji za Baraki, Kata ya Baraki Wilaya ya Rorya Mkoani Mara baada ya kipande cha video kusambaa kikionesha Wananchi wakichota maji kwenye eneo ambalo halina maji safi na salama.
Kusoma kilichotokea...
Leo tunaendelea rasmi na somo la Uandaaji wa Mpango Biashara (Business Plan) kwa wafugaji na wakulima
Hili ni somo muhimu sana kwa yeyote anayefanya au anayepanga kuanza kilimo na ufugaji wa kibiashara.
Tutajifunza kwa kina:
1. Business Plan ni nini na kwa nini ni muhimu.
Jinsi ya kuandaa...
WAFUGAJI WENZANGU, TUJIFUNZE PAMOJA
Moja ya sababu kubwa zinazofanya mayai yasitotolewe vizuri siyo mara zote sababu ni mayai mabovu, wakati mwingine
ni KUKOSA UDHIBITI SAHIHI WA JOTO NA UNYEVU NDANI YA INCUBATOR.
Hapa ndipo kifaa kimoja muhimu sana kinapokuja kusolve hili tatizo:
XK-W1099...
Mwenye taarifa nzuri ya Nini kinaendelea Tanga-kigurusimba, jimboni kwa Aweso atujuze.
Nimepata taarifa tangu Jana usiku Kuna mapigano makali kati ya wafugaji na wakulima. Vita ya mikuki, mapanga na mishale. Taarifa zinasema Ofisi ya mtendaji na mwenyekiti imefungwa na vijana wenye hasira kali...
🚀 Tulianza kutengeneza Fuga App tukiwa na lengo moja,kufanya ufugaji wa kuku kuwa rahisi,wa kisasa na wenye faida zaidi.
Leo, tunafurahi kusema tupo hatua moja karibu zaidi na ndoto hiyo ila kuwasaiddia wafugaji wa Kuku💚
Tunawatambulisha Fuga App toleo la 2.0!
Toleo jipya lililotengenezwa na...
⭐Tunashukuru Sana kwa kutumia Fuga App!🎉
Kwa kila mfugaji, rafiki na mshirika ambaye amekuwa sehemu ya safari hii kwa kutumia au kuitangaza Fuga App - asante sana.
Imani yenu, maoni yenu, na hadithi zenu za kila siku ndizo zinatupa nguvu ya kuendelea kuboresha na kuwahudumia vizuri zaidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.