Jimboni kwa Aweso: KIGURUSIMBA Kuna vita kati ya wafugaji na wakulima

Jimboni kwa Aweso: KIGURUSIMBA Kuna vita kati ya wafugaji na wakulima

Black cap

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2023
Posts
1,004
Reaction score
1,353
Mwenye taarifa nzuri ya Nini kinaendelea Tanga-kigurusimba, jimboni kwa Aweso atujuze.
Nimepata taarifa tangu Jana usiku Kuna mapigano makali kati ya wafugaji na wakulima. Vita ya mikuki, mapanga na mishale. Taarifa zinasema Ofisi ya mtendaji na mwenyekiti imefungwa na vijana wenye hasira kali sababu ya kutowasiliza. Mlioko jimboni kwa Aweso tupeni Nini hasa kinaendelea
 
Back
Top Bottom