Somo letu leo kuhusu mpango biashara kwa wakulima na wafugaji

Somo letu leo kuhusu mpango biashara kwa wakulima na wafugaji

Imani rubaba

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2013
Posts
254
Reaction score
350
Leo tunaendelea rasmi na somo la Uandaaji wa Mpango Biashara (Business Plan) kwa wafugaji na wakulima
Hili ni somo muhimu sana kwa yeyote anayefanya au anayepanga kuanza kilimo na ufugaji wa kibiashara.

Tutajifunza kwa kina:
1. Business Plan ni nini na kwa nini ni muhimu.
Jinsi ya kuandaa Business Plan inayoeleweka na yenye kuaminika
Makosa makubwa yanayowakwamisha wakulima na wafugaji wengi
Namna ya kuitumia Business Plan kupata:​
  • Mtaji​
  • Washirika​
  • Mikopo​
  • Masoko ya uhakika​
Faida za kuwa na Business Plan:
  • Inakupa mwelekeo sahihi wa mradi wako​
  • Inapunguza hasara na maamuzi ya kubahatisha​
  • Inakuongezea uaminifu mbele ya wawekezaji na taasisi za fedha​
  • Inakusaidia kupima faida kabla hata ya kuanza​
  • Inakuweka tayari kwa ukuaji wa biashara yako​
🚫 Usipange kukosa somo hili — ni msingi wa mafanikio ya mradi wowote wa kilimo au ufugaji wa kibiashara.
📲 Bado hujajiunga?
Tuma neno NIUNGE kwenda Rubaba Media
Ujiunge nasi ujifunze kwa vitendo, siyo nadharia.
👉 Kilimo na ufugaji ni biashara — Business Plan ndiyo ramani ya mafanikio yako.​

Screenshot_20260116_094130_WhatsAppBusiness.jpg
 
Back
Top Bottom