Hili suala la wafugaji na wakulima mikoa ya kusini sasahivi italeta janga

Hili suala la wafugaji na wakulima mikoa ya kusini sasahivi italeta janga

Atukuzwaye

Senior Member
Joined
Oct 5, 2026
Posts
191
Reaction score
250
Aliyewahi kuwa Diwani wa Kata ya Mtua na baadaye Kata ya Kipara Mtua, Wilaya ya Nachingwea, mkoani Lindi, Ajibu Ally Chimogo, amekutwa amefariki dunia katika shamba lake, huku kukiwa na madai kuwa ameuawa na wafugaji katika eneo hilo.

‎ ‎Chimogo alihudumu kama diwani wa Kata ya Mtua kuanzia mwaka 2005 hadi 2010, kabla ya kuchaguliwa kuwa diwani wa Kata ya Kipara Mtua kwa kipindi cha mwaka 2010 hadi 2015 kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). ‎

IMG_2683.jpeg
 
Huyu nae ni chanzo Cha tatizo lililomuua. ******* hawataki kutafuta solution ya migogoro ya wakulima na wafugaji, ujinga wao wapo bize kupambana na matokeo ya migogoro.
 
Back
Top Bottom