Habari za wakati huu waungwana!
Mbwa ni mfugo safi, muhimu sana, askari mbadala.
kila mtu yampasa afuge mbwa..
Mimi napenda sana mifugo,
Huyu mnyama mlinzi bora (mbwa) nampa kipaumbele sana!
sasa, sitaki mbwa wangu awe kama wale wengine wa mtaani, nataka mbwa bora.
-asiwe mjinga mjinga
-hali...
Waziri Mkuu Mstaafu mzee Sinde Warioba ameunga mkono hoja ya matatizo ya Wakulima na ameitaka Serikali isikwepe wajibu wake wa kuwatimizia matakwa yao na isipumbazwe na kundi la wapiga masifu ya hovyo.
Vilevile mzee Warioba ameitaka Serikali kushughulikia tatizo la Wafugaji na Machinga kwa...
Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe amesema kuwa kuna mvutano mkubwa baina ya wakulima na wafugaji mkoani Lindi na Wilaya ya Tunduru kwa kile alichobainisha kuwa ni kukosekana kwa mipango ya matumizi sahihi ya ardhi kama ilivyokusudiwa.
Kupitia chapisho lake aliloweka kwenye...
Maisha ni mipango. Na kila aliyefanikiwa leo ujue alipanga na kutekeleza mipango yake vizuri siku nyingi nyuma
Leo Ethiopia wametangaza kutimiza malengo yao waliyojiwekea mwaka 2019 kupanda miti billion 20 ifikapo mwaka 2022
Kati ya nchi ambazo sasa zimekuwa na hali nzuri ya hewa iliyoanza...
Taarifa iliyotufikia hivi punde inaeleza kwamba ng'ombe hao wa wananchi wa Mbarali ambao idadi kamili ni 433, wanaodaiwa kukamatwa na Askari wa Wanyamapori kwenye hifadhi wanapigwa mnada leo 14/11/2022
Bali kampuni iliyopewa tenda ya kupiga mnada ng'ombe hao wa Wananchi inaitwa MBARALI HIGHLAND...
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ametangaza rasmi bungeni kusitisha zoezi la uvishaji hereni mifugo baada ya kubaini upigaji wa Shilingi Bilioni 8.8 uliofanywa na Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki.
Kwa mujibu wa Majaliwa hadi sasa jumla ya Ngombe 5,068,616 zimeshawekewa hereni hizo ambazo...
IGP Camillus Wambura ametoa maagizo hayo kutokana na watu wawili kuuawa kwa silaha za moto na wawili kujeruhiwa wakati Polisi wakizuia vurugu Kijiji cha Ikwambi Kata ya Mofu, Wilaya ya Kilombero, Oktoba 23, 2022.
IGP Wambura amesema “Nimeunda Tume Huru kuchunguza vurugu zinazotokea, lengo kujua...
Akitoa ufafanuzi wa uamuzi uliotolewa na EACJ, Wakili Jebra Kambole amesema kesi hiyo ni ya “Uvamizi wa Serikali” unaodaiwa kufanywa mwaka 2017 na haihusiani na ‘Mateso ya Wamasai’ ya Juni 2022 ambayo ameeleza kuwa kesi yake GN 421 ya mwaka 2022 bado ipo Mahakamani.
Kambole amesema wameona...
UTANGULIZI
Migogoro ya wakulima na wafugaji imekuwa kikwazo kikubwa cha maendeleo vijijini na mahusiano baina ya wakulima na wafugaji katika nchi nyingi zilizo katika ukanda wa kusini mwa jangwa la Sahara. Pamoja na kuwa na juhudi za maksudi za kutatua migogoro hii bado kumekuwa na kukosekana...
Katika malisho ya nyanda za juu kwenye Kijiji cha Menma, Kaunti ya Ganzi, mkoani Sichuan China, kulungu mwenye midomo myeupe alitafuta majani kwenye malisho kwa raha akiyafuata makundi ya Nzao ya familia ya mfugaji Dawalam. Mwezi Mei 2021 kulungu yatima mwenye umri wa miezi michache alichukuliwa...
Mwenyekiti wa kampuni ya Ranchi ya Taifa (NARCO), Mhandisi Luhemeja ameeleza kuwa Serikali inakwenda kufumua muundo wa NARCO ili kila mkoa uwe na Ranchi yake pamoja na Meneja wa NARCO wa Mkoa na hivyo ameitaka menejimenti ya NARCO ikae hataka kufumua mfumo uliopo sasa
Luhemeja ameeleza kuwa...
Kuna kelele nyingi sana kufuatia dhamira njema ya serikali ya kuwaondoa wamasai kwenye pori tengefu la Loliondo.
Kwanini wamasai wa Loliondo wanataka wawe na special treatment nchi hii?
Awamu ya 4 iliwaondoa wafugaji maeneo ya bonde la Usangu, Ihefu, na Ujiji lkn hakuna aliyepiga kelele. Why??
Ukweli ni kwamba kila mahali ukienda kwenye mashamba karibu Tanzania nzima utakuta migogoro ya wafugaji na wakulima. Wafugaji wengi ni wamassai na wamang'ati na wamekuwa kero kila mahali. Leo hii kuna mmang'ati kapika kambi na ngombe kwenye shamba langu Kidomole, Pwani bila kuomba au kuwa na...
Wananchi wa kata ya bulamata, pamoja na kata za jirani zilizopo Mishamo mkoani Katavi kutoka wilaya ya Tanganyika wameomba serikali kuingilia kati migogoro iliyopo kati ya wakulima na jamii ya wafugaji.k
Wananchi wa vijiji hivyo wamesema kuwa jamii ya wafugaji wamekuwa na idadi kubwa ya Mifugo...
Dodoma. Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amepinga majibu ya Serikali kuhusu kauli kuwa hawana taarifa ya agizo la Mahakama kuhusu kurudisha mifugo ya wafugaji kama ilivyoamuliwa na mahakama.
Mpina amesema inashangaza na kusikitisha kuona kuwa, Mahakama ilishamuru wafugaji warudishiwe mifugo yao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.