Wafugaji wenzangu tujifunze kuusu TEMPERATURE AND HUMIDITY CONTROLLER ya njia mbili

Joined
Sep 11, 2018
Posts
44
Reaction score
58
WAFUGAJI WENZANGU, TUJIFUNZE PAMOJA

Moja ya sababu kubwa zinazofanya mayai yasitotolewe vizuri siyo mara zote sababu ni mayai mabovu, wakati mwingine
ni KUKOSA UDHIBITI SAHIHI WA JOTO NA UNYEVU NDANI YA INCUBATOR.

Hapa ndipo kifaa kimoja muhimu sana kinapokuja kusolve hili tatizo:

XK-W1099 TEMPERATURE & HUMIDITY CONTROLLER

🔹 Kifaa hiki hufanya kazi MBILI kwa wakati mmoja ndani ya Incubator yako:

1️⃣ Udhibiti wa JOTO (Temperature Control)
Mayai ya kuku yanahitaji joto la wastani wa 37.4°C – 38.0°C ili yatotolewe vizuri.
XK-W1099 huakikisha:

♦ Joto halipandi kupita kiasi
♦ Halishuki chini ya kiwango kinachohitajika
♦ Taa joto / heater inawaka na kuzima kiotomatiki
hapa Hakuna kubahatisha tena.

2️⃣ Udhibiti wa UNYEVU (Humidity Control)
Unyevu ni muhimu sana hasa siku za mwisho kabla ya kutotolewa mayai.

♦ Unasaidia ganda la yai lisiwe gumu
♦ Unasaidia kifaranga kitoke kikiwa na nguvu kubwa
♦ Unapunguza vifo vya vifaranga ndani ya yai

XK-W1099 huunganishwa na humidifier (kizalisha unyevu) kudhibiti unyevu kulingana na kiwango ulichoweka. Picha za kifaa mwisho wa thread

UMUHIMU WA XK-W1099 KWENYE INCUBATOR

♦ Inaboresha ufanisi wa kutotolesha
♦ Inafanya Incubator yako iwe ya kitaalamu
♦ Inafaa kwa Incubator ndogo, za kati na za kibiashara
Kwa mfugaji anayeanza au anayekua hiki kifaa ni ubongo wa Incubator

SASA INCUBATOR SIO LAZIMA UNUNUE YA GHARAMA KUBWA
Unaweza kutengeneza Incubator mwenyewe kwa kutumia:
♦ Sanduku la mbao
♦ Boksi imara
♦ Container la plastiki lenye mfuniko mzuri
♦ Friji bovu n.k

YAANI Kinachohitajika zaidi ni mfumo sahihi, siyo gharama kubwa.

USHAURI & VIFAA NA MAELEKEZO YA BURE
Kwa yeyote anayependa: ♦Kutengeneza Incubator
Kuelewa matumizi ya XK-W1099

MWANZA & MBEYA
📞 0657 923 089

61l0sO+aX9L._AC_SL1500_.jpg
 
View attachment 3528763
Hivi incubator za kisasa si zina hiki kifaa...ama mm ndio sijaelewa uzi
 
Back
Top Bottom