Watu wa Kusini kuweni makini na hao wafugaji kutoka kanda ya ziwa msije kupiga kelele baadae

Zee la madawa

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2022
Posts
1,895
Reaction score
4,478
Kuna wimbi kubwa sana la wafugaji kutoka kanda yq ziwa hasa kwenye wakihamia mikoa ya kusini Lindi,Mtwara na Ruvuma kuna makundi kwa makundi ya wafugaji wa jamii ya kisukuma wakihamia mikoa ya kusini na kuanza kupora ardhi na pia wengi wao kuwadhuru wenyeji wao kitu ambacho kinaleta taharuki na ugomvi wa mara kwa mara na hapo bado aisee

Makundi kwa makundi mamia kwa mamia ya wafugaji wa kisukuma wanahamia huko mikoa ya kanda ya kusini na hao jamaa wanavyozaana bila shaka mtafunikwa na baada kusini wao ndiyo watadominate si unaona Tabora? Kwasasa Tabora ni mmoja wa mkoa wa wasukuma na wao walianza mdogo mdogo kuweni makini nyie watu wa kusini
 
...una uhusiano na Fahari ya kusini ?!
 
Mipango miji ni muhimu sana.
Wamasai wakiachwa wafanye wanavyotaka , wataleta madhara kwa mazingira na jamii kwa ujumla.
Wizara ya Ardhi
 
Mjomba umeamua kujichagulia niche yako kabisa hapa JF "watu wa Kanda ya ziwa"

Sijui watu wa Kanda ya ziwa walikufanya nini maana unalala nao Kila kona,huwaachi wapumue!!
 
Ni vizuri waende kuichangamsha kusini....kule kuna mapori mengi hayana mwenyewe....ngoja wakayaendeleze.....
 
Wasukuma baadhi wanaviburi sana haswa hawa wenye mifugo mzee,, anaweza akalisha shambani kwako na wala asishtuke mzee.
Pale tabora washawahi kuingia na mizozo na bimkubwa miaka ilee ya nyuma.

Inshort Wasukuma& Wamasai bado asilimia kubwa hawajawa civilized .
 
Kuna wimbi kubwa sana la wafugaji kutoka kanda yq ziwa hasa kwenye wakihamia mikoa ya kusini Lindi,Mtwara na Ruvuma kuna makundi kwa makundi ya wafugaji wa jamii ya kisukuma wakihamia mikoa ya kusini na kuanza kupora ardhi na pia wengi wao kuwadhuru wenyeji wao kitu ambacho kinaleta taharuki na ugomvi wa mara kwa mara na hapo bado aisee

Makundi kwa makundi mamia kwa mamia ya wafugaji wa kisukuma wanahamia huko mikoa ya kanda ya kusini na hao jamaa wanavyozaana bila shaka mtafunikwa na baada kusini wao ndiyo watadominate si unaona Tabora? Kwasasa Tabora ni mmoja wa mkoa wa wasukuma na wao walianza mdogo mdogo kuweni makini nyie watu wa kusini
Cha msingi wawe watanzania tu
 
Wasukuma baadhi wanaviburi sana haswa hawa wenye mifugo mzee,, anaweza akalisha shambani kwako na wala asishtuke mzee.
Pale tabora washawahi kuingia na mizozo na bimkubwa miaka ilee ya nyuma.

Inshort Wasukuma& Wamasai bado asilimia kubwa hawajawa civilized .
Mi waingize mifugo kwenye shamba langu sinawatandika risasi tu
 
Kuna mmoja nakaa nyumba moja , anapikipiki ya umeme inakata karibia 1.6 unit kwa usiku akichaji ajabu ananiambia tuchange pesa ya umeme sawa,, alafu ni mbishi kisengeree anadai pikipiki yake haili umeme huo.
 
Mi waingize mifugo kwenye shamba langu sinawatandika risasi tu
Hongera mkuu wewe una risasi, ila wamasai wa siku hizi na wao Wana magobore.

Ki ukweli wamasai maleta madhara makubwa wa ustawi wa ecology na mazao kwa wakulima wa morogoro, iringa,mbeya .

Na Sasa hivi wanavamia mapori ya songwe
 
hao dawa watandikwe Risasi warudi kwao Kenya
 
Kuna wimbi kubwa sana la wafugaji kutoka kanda yq ziwa hasa kwenye wakihamia mikoa ya kusini Lindi,Mtwara na Ruvuma kuna makundi kwa makundi ya wafugaji wa jamii ya kisukuma wakihamia mikoa ya kusini na kuanza kupora ardhi na pia wengi wao kuwadhuru wenyeji wao kitu ambacho kinaleta taharuki na ugomvi wa mara kwa mara na hapo bado aisee

Makundi kwa makundi mamia kwa mamia ya wafugaji wa kisukuma wanahamia huko mikoa ya kanda ya kusini na hao jamaa wanavyozaana bila shaka mtafunikwa na baada kusini wao ndiyo watadominate si unaona Tabora? Kwasasa Tabora ni mmoja wa mkoa wa wasukuma na wao walianza mdogo mdogo kuweni makini nyie watu wa kusini
Nywanoko
Kanda ya ziwa Taifa kubwa hilo.popote linapenya
 
Back
Top Bottom