DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,153
Mfanyabiashara na Mkuregenzi wa TWINTECH GROUP Kulwa Issa amechukua fomu ya kuwania nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Mtwara Mjini katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu.
Kupitia taarifa rasmi aliyoitoa, nia yake ya kuwania nafasi hiyo imetokana na hamasa kubwa kutoka kwa wananchi wa Mtwara ambao wamekuwa wakimtia moyo kwa muda mrefu wakiamini ana uwezo wa kuwatumikia na kuwasemea bungeni.