Sasa kama umesema Dini haina maamrisho hayo kwa nini useme ni lazima?Kwa nini huwa ni lazima kufanya 40 baada ya msiba wa Kiislamu ikiwa dini haina maamrisho hayo?
Mimi nimekusikia wewe ukisema ni lazima ndo maana nimekuulizaMimi ndio nimesama ni lazima au Waislamu ndio mmefanya ni lazima?!
ok.🐒Kwenye dini ya Kiislamu hakuna 40 baada ya msiba au mtoto kuzaliwa, hili ni jambo ambalo Waswahili wamejiongeza kuipimp dini!
Kwa nini huwa ni lazima kufanya 40 baada ya msiba wa Kiislamu ikiwa dini haina maamrisho hayo?