Kumbe ajira hamna.Sasa kwanini tusome ?

Hapa ukute atakua hajapata futari
 
Na mbona viongozi wetu wameshaanza kuzizarau degree sasa ! Kwani sisi tunakosa gani ???
 
Mkuu, haya mashamba ya mkonge hujayaona Iringa? Yale majaruba ya kulima mpunga ya Mbeya hujayaona?
Vipi kuhusu kupanda miti ukasubiri miaka 20 uvune mamilioni hujasikia?
 
Mkuu, haya mashamba ya mkonge hujayaona Iringa? Yale majaruba ya kulima mpunga ya Mbeya hujayaona?
Vipi kuhusu kupanda miti ukasubiri miaka 20 uvune mamilioni hujasikia?
Hizo nazo story za akina Lomolomo tu .
Hivi wewe unapanda mti ati usubirie baada ya 20y's ndo uje uendeleee pekeyake are you kidding???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…