Thecoder
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 1,590
- 4,244
Kwahiyo veta ndio kuna elimu sahihi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo veta ndio kuna elimu sahihi.
Usome ili uelimikeKumbe ajira hamna!!!!😭😭
Sasa kwanini tusome ????
Tukisoma na ada ikipotea !!!!🙄
Nasoma namuogopa nani ???
Tutasoma ili kuondoa Ujinga wa Kuamini Ajira hakunaKumbe ajira hamna!!!!😭😭
Sasa kwanini tusome ????
Tukisoma na ada ikipotea !!!!🙄
Nasoma namuogopa nani ???
Mkuu kupanda miti ni uwekezaji wa muda mrefuHizo nazo story za akina Lomolomo tu .
Hivi wewe unapanda mti ati usubirie baada ya 20y's ndo uje uendeleee pekeyake are you kidding???
Unatakiwa multi - businessmanNikiwekeza 20yrs alafu nitakuwa nakula nini ???
Kazi zipo Nyingi sana mkuu, kupasua mawe mliman, kuuza madafu, kuchoma mahindi na n.k..🙂 🙂Kazi gani ya Human trafficking???🙄