Kumbe Aliponea Chupuchupu: Kama Kesi ingepokelewa ICC saa hizi Magufuli angekuwa jela

Ujinga kabisa

Waafrika hatuna akili ya kujitegemea

ICC ndio kitu gani ???!!
 
Magufuli ni Kiranja Mkuu wa malaika, yaani yeye alikuwa mtakatifu na mkamilifu kuliko binadamu wote.
Ndio Mana Mungu alimpenda zaidi na kumtwaa mapema.
 
sio vizuri kumsema marehemu kwa mabaya aliyofanya kwani hujui ni nini anapitia huko aliko... R.I.P JIWE kuu.
 
mwenzako yuko kwenye kifungo cha mauti wewe unazungumzia angekuwa jela, au unamaanisha angezikwa jela?
 
Harafu wakawa wanapongezwa eti ndio wazalendo hao Majahili
Ukiona jambazi anampongeza mtu fulani kwa kazi nzuri ujue kuwa anayepongezwa anafanya vizuri katika ujambazi.

Utawala ule wa marehemu ulikuwa ni wa kijambazi, hivyo wote aliokuwa akiwapongeza ni wale waliokuwa wakifanya vizuri katika ujambazi wao.
 
hovyo kabisa hao jamaa
 
sio vizuri kumsema marehemu kwa mabaya aliyofanya kwani hujui ni nini anapitia huko aliko... R.I.P JIWE kuu.
Kama alivyowapitisha binadamu wenzie. Yeye naye apate mara 100
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…