johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Tautology. Jiwe ndiye alikuwa Mkuu wa utawala, utawatenganishaje? Ukimuogopa Jiwe umeogopa utawala wake.Kiukweli hayati Magufuli aliogopwa yeye binafsi na wala siyo utawala wake kwa sababu kuna maeneo mambo ni vurugu tupu lakini watendaji ni wale wale.
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile appMbona ziliimbwa nyimbo kuwa hiyo stand ndio mwarobaini wa matatizo?
Hakika ni kishindo cha awamu ya 5
Kabisa mkuu halafu mabasi yanapangana kama daladala pale makumbusho!Stand inachukua MABASI machache kuliko ilivokuwa UBT
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Yaani watendaji wamejisahau mno!Watendaji timizeni wajibu wenu,msiwe watu mnaohitaji kupigiwa kelele kila siku eti tu kwasababu flani alikuwa mkali hayupo na nyie mnalala.Na jambo kama hili halihitaji hata Raisi, kwani mkuu wa mkoa,wakurugenzi na mamlaka nyingine husika wanafanya kazi gani?
Inawezekana bwashee!Magufuli hakujenga system alijiamininyeye kama yeye.Sasa hii.ndio shida sasa
Well spoken broWatendaji timizeni wajibu wenu,msiwe watu mnaohitaji kupigiwa kelele kila siku eti tu kwasababu flani alikuwa mkali hayupo na nyie mnalala.Na jambo kama hili halihitaji hata Raisi,kwani mkuu wa mkoa,wakurugenzi na mamlaka nyingine husika wanafanya kazi gani...?
Hata yeye hakukuta system, alichofanya ilikuwa ndio aina ya uongozi wake kama kulivyokuwa na aina ya uongozi wa Mkapa na JK.Magufuli hakujenga system alijiamininyeye kama yeye.Sasa hii.ndio shida sasa
Nimekuelewa bwashee!Hata yeye hakukuta system, alichofanya ilikuwa ndio aina ya uongozi wake kama kulivyokuwa na aina ya uongozi wa Mkapa na JK.
Kujenga mfumo imara kupitia CCM haiwezekani. CCM wanajua wazi kwamba kama wakijenga taasisi na mifumo imara ndio utakuwa mwisho wao. Magu alitambua hilo ndio maana akaamua kutumia nguvu yake binafsi kuongoza.Magufuli hakujenga system alijiamininyeye kama yeye.Sasa hii.ndio shida sasa
Mimi nashangaa watu wanapenda kurudia kusema hii kauli ya "kuweka system" hawajui kuwa watu bila kujijengea utamaduni mzuri hata hizo system hazitofanya kazi, watu wenyewe hawana ustaarabu kama unavyosema wanataka kuongozwa kama mifugo.Hivi kweli serikali Ijenge stand ya mabasi halafu Rais aje asimamie mipangilio ya mabasi kweli , halafu mtu unakuja kumlaumu mwendazake hii ni akili matope . Sema ustaarabu hatuna full stop. Tumepewa kitu kizuri tuwe wastaarabu.
Kwani Wazungu waliposema watoto wasipigwe bakora shuleni walikuwa wajinga? Walijuwa kuwa binadamu unatakiwa uwajengee system iliyo rahisi kuifata ili iwe endelevu. Walijuwa kuwa kuna Wanafunzi wataonekana wanafanya vizuri kumbe sababu ya kuogopa bakora. Lakini uhalisia ni kuwa akiwa nje ya shule hakutokuwepo mtu wa kumpiga bakora. Na kwa vile alionekana anafanya uzuri shule angeweza kupewa uongozi baada ya shule na kumbe hamna kitu kichwani.Watendaji timizeni wajibu wenu,msiwe watu mnaohitaji kupigiwa kelele kila siku eti tu kwasababu flani alikuwa mkali hayupo na nyie mnalala. Na jambo kama hili halihitaji hata Raisi, kwani mkuu wa mkoa,wakurugenzi na mamlaka nyingine husika wanafanya kazi gani?
Nimekuelewa bwashee!Kwani Wazungu waliposema watoto wasipigwe bakora shuleni walikuwa wajinga? Walijuwa kuwa binadamu unatakiwa uwajengee system iliyo rahisi kuifata ili iwe endelevu. Walijuwa kuwa kuna Wanafunzi wataonekana wanafanya vizuri kumbe sababu ya kuogopa bakora. Lakini uhalisia ni kuwa akiwa nje ya shule hakutokuwepo mtu wa kumpiga bakora. Na kwa vile alionekana anafanya uzuri shule angeweza kupewa uongozi baada ya shule na kumbe hamna kitu kichwani.
My point is, uongozi sio vitisho. Chagua watu kutokana na uwezo wao wa kuweza kujiendesha wenyewe na kuwaongoza wenziwao. Kama mtu hawezi kujiongoza mpaka akaguliwe na kutukanwa kila siku basi huyo hafai!