UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 16,543
- 7,880
Hatuna utamaduni wa kuheshimu katiba tusisingizie aina ya katiba sijui ikija katiba mpya ndio watu watakuwa na huo utamaduni ambao hawakonao sasa.Katiba ikiwa nzuri itaheshimika tu, kumbuia watu wanaidharqu katiba kwa kuwa ina mapengo mengi na kwa upande fulani inategemea utashi wa mtu mmoja.