Kumbe aliyekuwa anaogopewa ni hayati Magufuli lakini siyo utawala wake, Magufuli Bus Terminal mambo ni vurugu tupu!

Kumbe aliyekuwa anaogopewa ni hayati Magufuli lakini siyo utawala wake, Magufuli Bus Terminal mambo ni vurugu tupu!

Katiba ikiwa nzuri itaheshimika tu, kumbuia watu wanaidharqu katiba kwa kuwa ina mapengo mengi na kwa upande fulani inategemea utashi wa mtu mmoja.
Hatuna utamaduni wa kuheshimu katiba tusisingizie aina ya katiba sijui ikija katiba mpya ndio watu watakuwa na huo utamaduni ambao hawakonao sasa.
 
Back
Top Bottom