Kumbe Amber Ruty mwenyewe ndo huyu jomoni!

ngafu.fijo Loh[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] huo ugoko!!pamoja na kufanya kwangu kazi za shurba naamini miguu yangu haifanani hivyo kama umaarufu kwanini asiutafute kwa njia nyengine?

sent from my Infinix S2 Pro using JamiiForums mobile app
 
Mnagombania nae mwanaume?
 
huu msamiati "Jomoni" nowadays unashika hatamu
alafu kuna mtu alikuwa ananiandikia msg anautumia mi nikajua anakosea kumbe ndo upuuzi wao mpya.

Ngoja aje aniandikie upya nakausha mambo ya kulea upuuzi wa hivi ndo yanakuja kuwa mchicha mwiba mbeleni
 
Wazazi wake sijui bado wapo hai mana mtoto wAo si kitu tena.
 
Hili neno "jomoni" linaleta ukakasi likitamkwa na mwanaume rijali
 
Picha zenyewe zikuwapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…