Kumbe anayemuoa Flora Mbasha ni member wa humu JF: Hongera sana mdau, imarisheni uhusiano na JF

REDEEMER.

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2015
Posts
8,925
Reaction score
14,890
Nimemnasa kwenye radar zangu
Anaitwa Daudi kusekwa


====+++======++++++======+++
Headlines za staa wa muziki wa Injili Tanzania Madam Flora kukaribia kufunga ndoa baada ya kutengana na aliyekuwa mumewe Emmanuel Mbasha zimekuwa zikichukua nafasi siku za hivi karibuni.

Leo April 29, 2017 millardayo.com imezipata picha 11 ambazo Madam Flora yupo na mumewe mtarajiwa ambaye anaitwa Daudi Kusekwa. Wawili hao wanatarajia kufunga ndoa April 30, 2017 jijiniMwanza.

Hizi hapa picha…



















 
Mimi siamini kama ni kweli kwa sababu zifuatazo:
1. Iweje ndoa hiyo ifungwa siku ya J2?? Au ni wasabato siku hizi?
2. Huyo mtumishi anayekwenda wafungia ndoa, akili zake ziko sawa kweli?? Ukristo gani jamani huo?? Uache mume (Kwani yeye Flora ndo aliomba hiyo talaka.) Hata mwaka bado ati tiyari anaoa tena. Huoni hawa waliyaanza maisha hata alipokuwa na Mbasha??
3. Je, huyu ndiye babake yule mtoi tuloambiwa ni wa Gwaji??
4. Madam F, umepatapi ujasiri wa kuitangaza injili iokoayo kwa nyimbo za injili hata baada ya kumtaliki Mbasha??
Acha kulitukanisha jina kuu la Bwana na Mwokozi wetu Yesu Kristo. Ukristo wa aina yako haupo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…