agata edward
JF-Expert Member
- Nov 25, 2014
- 6,641
- 9,400
Angalau mimi nilikuwa saiz yake,hako ni katoto jamaniHaha kwa iyo wee ulimtaka ama,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angalau mimi nilikuwa saiz yake,hako ni katoto jamaniHaha kwa iyo wee ulimtaka ama,
mwanae wa kumzaa kabisa
Walokole wanafunga tu hata jumapiliMimi siamini kama ni kweli kwa sababu zifuatazo:
1. Iweje ndoa hiyo ifungwa siku ya J2?? Au ni wasabato siku hizi?
2. Huyo mtumishi anayekwenda wafungia ndoa, akili zake ziko sawa kweli?? Ukristo gani jamani huo?? Uache mume (Kwani yeye Flora ndo aliomba hiyo talaka.) Hata mwaka bado ati tiyari anaoa tena. Huoni hawa waliyaanza maisha hata alipokuwa na Mbasha??
3. Je, huyu ndiye babake yule mtoi tuloambiwa ni wa Gwaji??
4. Madam F, umepatapi ujasiri wa kuitangaza injili iokoayo kwa nyimbo za injili hata baada ya kumtaliki Mbasha??
Acha kulitukanisha jina kuu la Bwana na Mwokozi wetu Yesu Kristo. Ukristo wa aina yako haupo
Yesuuuuu na mariaaWalilala pia mi nilikua reception cku iyo
Mungu anakuona!Ashukuru wigi uyu fulola
Angalau mimi nilikuwa saiz yake,hako ni katoto jamani
Ukitaka Kuujua umri wa Florah Mbasha tegea akiwa Katoka kuamkaHa,ha haaa...
Bujibuji mungu anakuona
Mkuu nmejikuta nacheka pekee yngMaskini kaka Wa watu anaenda kubakwa
Halafu huyu kijana si km mdogo wake tu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] maaninaaaa daaaaMaskini kaka Wa watu anaenda kubakwa
kwahiyo walizini!Walilala pia mi nilikua reception cku iyo
Ha aha ahaa... Maswali mengine bhana!! Sasa ng'ombe keshafika machinjioni kinachobaki ni nini?hapo hotelini walienda tu kupiga picha ama walilala pia?????
kwahiyo walizini