Kumbe anayemuoa Flora Mbasha ni member wa humu JF: Hongera sana mdau, imarisheni uhusiano na JF

Kumbe anayemuoa Flora Mbasha ni member wa humu JF: Hongera sana mdau, imarisheni uhusiano na JF

mwanae wa kumzaa kabisa

Vijana wa siku hizi hawataki kusumbuana na vijana wenzao. Wanataka kubebwa mgongoni na kupelekwa tu chumbani. Longo longo ya sitaki nataka ya nini? Umri ni namba tu, mashine haizeeki
 
Mimi siamini kama ni kweli kwa sababu zifuatazo:
1. Iweje ndoa hiyo ifungwa siku ya J2?? Au ni wasabato siku hizi?
2. Huyo mtumishi anayekwenda wafungia ndoa, akili zake ziko sawa kweli?? Ukristo gani jamani huo?? Uache mume (Kwani yeye Flora ndo aliomba hiyo talaka.) Hata mwaka bado ati tiyari anaoa tena. Huoni hawa waliyaanza maisha hata alipokuwa na Mbasha??
3. Je, huyu ndiye babake yule mtoi tuloambiwa ni wa Gwaji??
4. Madam F, umepatapi ujasiri wa kuitangaza injili iokoayo kwa nyimbo za injili hata baada ya kumtaliki Mbasha??
Acha kulitukanisha jina kuu la Bwana na Mwokozi wetu Yesu Kristo. Ukristo wa aina yako haupo
Walokole wanafunga tu hata jumapili
 
Nimejaribu kusoma comments naona nyingi mnamponda Mara chalii anoa mtu mzima mbona mi sion tatizo coz on the other side mtu anaamua kufanya Yale yanayompendeza na huwezi kuishi kwa matamanio ya watu unaishi utakavyo.. Give the man a break age it's just a number love doesn't care about that let em be
May yo wedding be full of joy n happiness
 
hapo hotelini walienda tu kupiga picha ama walilala pia?????
Ha aha ahaa... Maswali mengine bhana!! Sasa ng'ombe keshafika machinjioni kinachobaki ni nini?
Baada ya mpiga picha kutoka kulichoendelea pigia mstari tu[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Back
Top Bottom