Mdakuzi
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 4,294
- 6,872
Wewe una matatizo ya akili shimizu mbaya dah hiyo kali.wewe hata wema utasema ni mbaya.
Mmh! Mie miguu ya Wema tu, utadhani sigara zimechomekwa kwenye unga.
Na siku akivaa pensi kwa ile miguu yake utadhani mtu kabinuka sarakasi ya kutembea kwa mikono huku kavaa shati.
Ila Wema ana maeneo hayo kaumbwa na akaumbika, na kile kisauti basi ndo balaa.
Nasikia hupagawisha watu kwa style yake kwenye sita kwa sita ya kufunua njia zote na kukuachia mwenyewe uchague pa kuweka mzigo.
Ova.