uhurumoja
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 9,616
- 22,521
Umeeleza vizuri sana ila nadhani ni wanawake wachache wanajua hili na hata wanaume piaKuna kitu mnachanganya hapa. Dating sites siyo sehemu ya kutafutia malaya. Narudia tena: dating sites siyo sehemu za kutafuta malaya. Ni sehemu za kutafuta marafiki wa jinsia tofauti na lengo kuu ni kuwa wapenzi au kuoana. Hivyo basi ni haki yake kukutukana pale unapomwandikia kama unataka malaya wa kulala naye. Ukitaka malaya kuna sites maalum, na huwa ni kwa ajili hiyo tu na wengine mpaka bei wanaweka.
Wengi huingia wakiwa na mentality ya kuuza na kununua