Kumbe Asante Kwasi alikuwa anacheza na Tshishimbi pamoja

craq

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2017
Posts
859
Reaction score
1,866
Mfungaji wa goli la lipuli dhidi ya simba ,Asante kwasi alikuwa anakipiga katika klabu ya Mbabane swallows timu ambayo kiungo wa yanga Tshishimbi alitokea.

Wachezaji Hawa wa zamani wa Mbabane swallows wamekuwa miba mchungu kwa wana msimbazi msimu huu.

f66d773bb55d2f61bf1718133a5a601b.jpg
 
Hivi Kwanini Hawa Baadhi Ya #Plastic_Fans wa [HASHTAG]#YeboYebo[/HASHTAG] Akili Zao Zipo #Matåkõñî?

Labda Nikuulize Huyu Puppy Tshishimbi kawa mwiba Mchungu Kwa Simba Kivipi??
 
Unauliza?Unajibu!!!??
 
Tshishimbi wa ulaya kama Nonda na sio Sweden aah aah
 
Hivi Kwanini Hawa Baadhi Ya #Plastic_Fans wa [HASHTAG]#YeboYebo[/HASHTAG] Akili Zao Zipo #Matåkõñî?

Labda Nikuulize Huyu Puppy Tshishimbi kawa mwiba Mchungu Kwa Simba Kivipi??
Asante kwasi anakusalimu
 
Back
Top Bottom