Mfungaji wa goli la lipuli dhidi ya simba ,Asante kwasi alikuwa anakipiga katika klabu ya Mbabane swallows timu ambayo kiungo wa yanga Tshishimbi alitokea.
Wachezaji Hawa wa zamani wa Mbabane swallows wamekuwa miba mchungu kwa wana msimbazi msimu huu.
Wachezaji Hawa wa zamani wa Mbabane swallows wamekuwa miba mchungu kwa wana msimbazi msimu huu.