Mfungaji wa goli la lipuli dhidi ya simba ,Asante kwasi alikuwa anakipiga katika klabu ya Mbabane swallows timu ambayo kiungo wa yanga Tshishimbi alitokea.
Wachezaji Hawa wa zamani wa Mbabane swallows wamekuwa miba mchungu kwa wana msimbazi msimu huu.
Unauliza?Unajibu!!!??Hivi Kwanini Hawa Baadhi Ya #Plastic_Fans wa [HASHTAG]#YeboYebo[/HASHTAG] Akili Zao Zipo #Matåkõñî?
Labda Nikuulize Huyu Puppy Tshishimbi kawa mwiba Mchungu Kwa Simba Kivipi??
Tshishimbi wa ulaya kama Nonda na sio Sweden aah aah
Kwani Sweden ni kwenye Masaburi yako? Ulipata 0 ya Geography???
Asante kwasi anakusalimuHivi Kwanini Hawa Baadhi Ya #Plastic_Fans wa [HASHTAG]#YeboYebo[/HASHTAG] Akili Zao Zipo #Matåkõñî?
Labda Nikuulize Huyu Puppy Tshishimbi kawa mwiba Mchungu Kwa Simba Kivipi??
Asante kwasi anakusalimu
Sweden ipo Mabwepande?Tshishimbi wa ulaya kama Nonda na sio Sweden aah aah
Maana yake nini; kwamba Simba haina mtu wa kumdhibiti Tshishimbi mpaka siku itapomsajili Kotinyu?Dawa ya Papii ni Kotinyu.