#COVID19 Kumbe askofu Gwajima aweza kuwa sahihi: Tangia chanjo ya COVID-19 inatolewa mpaka tarehe 23 Agosti ilikuwa partially approved kutolewa kwa binadamu

Thibitisha sio chanjo, na leta chanjo yako
sikiliza hizo video mbili kama kweli unataka uthibitisho. najua hizi bado kwa sceptic si uthibitisho lakini ni mwanzo wa safari ya kusaka uthibitisho
 

Sasa huyu DR. Vladmir Zalenko na Gwajima wanautofauti gani Mkuu????Msome hapa

Dr. Vladimir Zelenko, the man behind a treatment regimen involving the antimalarial drug hydroxychloroquine adopted by President Donald Trump, said in an undated interview with an Israeli rabbinical leader that people like George Soros and Bill Gates are involved in a “war against God” designed to “maintain global fear” as a part of an effort to “reorganize the social structure and fabric of the world.”

“There are properties in this vaccine which may inhibit fertility for young girls,” Zelenko said, without evidence, to Rabbi Amnon Yitzhak. “Also, there’s small particles called nanoparticles in this vaccine that may have the ability to track someone. In other words, with the increasing satellite networks, it may be very possible to have a GPS inside of every person.”


There is no evidence to suggest that vaccine manufacturers will attempt to track patients’ locations, and the coronavirus vaccine does not cause infertility.





https://forward.com/fast-forward/46...itol-trump-rally-and-hoped-to-avoid-too-much/
 

Gwajima unakukwaza nini,labda tuanzie hapo - Gwajima anacho sema kinahusu mfumo uliyo tumika kuzalisha chanjo - mfumo huo una walakini sana, wala uhitaji shahada ya PhD ya fani ya Molecular Biology na Immunology to know matatizo ya muda mfupi na muda mrefu yanayo weza kusababishwa na hizi Experimental Biological Agents - wao wanaziita chanjo!! Bone of contention ya Gwajima na mRNA na Vector chanjo ni genetic technology ambayo inetumiwa kuzakisha chanjo badala ya kutumia njia asili ya kuzalisha chanjo ambayo sehemu ya kirusi cha covid kilicho punguzwa nguvu au kuharibiwa kabisa ndio vinatumiwa kuzalisha chanjo bila ya kuongeza kitu cha ziada - chanjo ambazo Gwajima anazipinga ni hizi ambazo hazina ingredient yoyote ya covid bali wao wanaingiza vitu ambavyo sio native wa virusi vya covid! Hapo Dunia itegemee nini?Kwa nini tushangae injuries zinazo sababishwa na chanjo hizi za mRNA na za Vector type - injuries kama: blood clot, stroke,paralysis, kuvimba moyo au ubongo,kuharibu ovaries za kina mama nk - halafu tuseme hivi ni vitu vya kawaida kweli?

Mbona mambo hayo hatuyasikii kwenye chanjo za Kichina zinazo tumiwa kwenye mataifa 60 Duniani ikiwemo uchina yenyewe iliyo chanja RAIA wake zaidi ya 1.2 billion - kumbuka chanjo za kichina zinazalishwa kwa njia ya asilini na kama nilivyo sema hapo juu, Chanjo za Kichina hazina madhala kwa sababu mbinu zilizo tumiwa kuzalisha chanjo ndio mbinu zilizo vumbuliwa zaidi ya miaka mia iliyo pita ndio utumiwa kuzalisha chanjo za: Ndui,yellow fever,measles, pepo punda,TB no - ni tested and proven technology. Hivi sasa Uchina ndio inaongoza Duniani kudhibiti ugonjwa huu wa covid nchini mwao, badala ya Mataifa ya magharibi kujifunza kutoka Uchina jinsi ya ku-address maambukizi, wao wanaendeleza propaganda zao ya kuipiga vita Uchina hata kwenye masuala ya chanjo!

Zanzibar wanadunga watu wao kwa chanjo zinazo toka Uchina, sasa kwa nini Tanzania bara tusiwe na choice ya kuchagua chanjo ambayo RAIA anaona itakuwa balabala/faa kwake.

Kinacho shangaza kwa nini Dunia haitaki kujifunza kutoka Uchina jinsi ya kudhibiti na kuondoa kabisa tatizo hili la covid variant zote - tangu chanjo hizi za kijinetiki zianze kutumika Merikani na Ulaya mbona maambukizi yanaongezeka badala ya kupungua ni as if chanjo zenyewe zina wafanya baadhi ya watu walio chanjwa kuwa fast breeder wa covid variant kama vile fast breeder nuclear reactors, kwa nini baadhi ya majibo ya Merikani yaliko itikia kwa wingi chanjo ndio yanaongoza kwa maambukizi - what does that tell you - kuna matatizo si bure.

Bottom line is: Maoni ya Gwajima sio ya kubezwa bezwa hata kidogo, tuombe uhai lakini kadri siku/miaka inavyo kwenda tutakuja kumkumbuka Gwajima mapungufu yake notwithstanding.
 
Tofauti na Gwajima ni kuwa Dr Zelenko ametibu maelfu ya wagonjwa wa covid 19 na wakapona.
 
Tofauti na Gwajima ni kuwa Dr Zelenko ametibu maelfu ya wagonjwa wa covid 19 na wakapona.

Ndio yale yale, vaccine ya Polio, Tetanus hazina WAR AGAINST GOD ila covaxxxx???????? 😀 😀 😀
 
Vijana wengi Tanzania wana mentality za kijinga sana kuliko hata wazee,kuna mtu hapa anauliza kwann baadhi ya chanzo watu hawajazi consent form, Like seriously? Mtu anashindwa kujishughulisha kiakili kutambua evolution ya chanjo duniani na why baadhi ya chanjo zilifika kipindi zikawa mandatory. Vaccines mbalimbali zilizotengenezwa duniani,at the earliest watu walikuwa wanajaza consent forms as a matter of procedures,lakini zilipokuja kuwa mandatory-consent forms umuhimu wake ukaondoka sababu chanjo ilikuwa ni lazima.Consent form inakupa option ya ku-reject au accept,but inapokuwa mandatory-mtu anaondolewa option ya ku-reject.
Maswali ya msingi-Kwann tunajaza consent forms?kwann baadhi ya chanjo ambazo tulikuwa tunajaza consent forms kabla ya kuchanjwa zamani sasa hivi hatujazi tena?Je kutokujazishwa consent form ya chanjo ya Polio,inamaanisha chanjo ya Polio haina side effect yoyote?Je,procedure halali za uchomaji chanjo zinafatwa?,sababu wengine hata kwenye CORONA hawajajazishwa consent forms. wakurochi Econometrician
 
Chanjo zote za COVID zimeidhinishwa na WHO kwaajili ya matumizi ya dharula kwasababu maisha ya watu yanapotea na shughuli za kiuchumi nyingi zilisimama.

Na bahati nzuri zimepunguza vifo kwa kiasi kikubwa sana.
Ndiyo mkubari kuwa ni chanjo ya majaribio
 
Unafikiri WHO ni malaika?,fahamu hao ni binadamu wana mapungufu pia,wana interest zao,wananunulika ,wanaweza kiuka viapo vyao.
Remember hakuna mkate mgumu mbele ya chai
Elewa maana ya dharura
 
Nachoelewa mimi kwendana na literature mbalimbali zikiwemo Scientific journals pamoja na sheria tofauti tofauti duniani-To date,chanjo yeyote inayoweza kupelekea kubadilisha genetic make-up ya binadamu ni totally prohibited
 
China walifanya nini mkuu?
 
Gwajima Yuko Sasa ndiyo maana hakuna mwanasayansi aliyetokea mpaka kujibu maswali ya Gwajima,hata Ile tume ya Corona wamekimbia.

Na wanaojitutumua kumjibu Sana Sana wanaishia kusema anapotosha tu.
Hivi unaweza kupoteza muda wako kumjibu Gwajima! labda asiyemfahamu ( Treni, Vijana kuwapeleka ulaya, nk.) Labda watu wa aina ya sabato masalia wanaweza kujaribu
 
Na bado
Hata hiyo Genes therapy unayosema ipo kwenye COVAXX sio sahihi, ila wadau wanadai ndio itakuwa future ya vaccine zijazo,

 
Unafikiri WHO ni malaika?,fahamu hao ni binadamu wana mapungufu pia,wana interest zao,wananunulika ,wanaweza kiuka viapo vyao.
Remember hakuna mkate mgumu mbele ya chai
Bila shaka si malaika, angalau ni wataalamu wanaoelewa wanachoongelea. Kinyume na wengine "wenye kitu ndani"
 
nisome section gani - kwenye abstract kote hakuna ulichokisema.
 
Hivi unaweza kupoteza muda wako kumjibu Gwajima! labda asiyemfahamu ( Treni, Vijana kuwapeleka ulaya, nk.) Labda watu wa aina ya sabato masalia wanaweza kujaribu
Gwajima aliulizwa maswali na wananchi wa kawe kipindi cha kampeni kuhusu majukumu ya mbunge ambayo ni nafasi aliyokuwa anaigombea na akashindwa,Sasa kwenye chanjo ataongelea nn zaid ya upuuzi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…