Ashampoo burning
JF-Expert Member
- May 12, 2023
- 1,299
- 3,977
Bwana juzi nimekaa zangu home, nikawa nasikiliza zile nyimbo za zamani za Aslay akiwa dogo. Nikaplay wimbo wake "Niwe Nawe", halafu ghafla nikasema, “Subiri kidogo… hii sauti mbona kama najua?”
Nikashtuka! Sauti ya Aslay mdogo ilikuwa inafanana ile mbaya na ya msanii mmoja wa kike anaitwa Vumilia, yule aliyewahi kuimba “Tatizo ni Umasikini”. Bwana weee anavyopeleka mistari—ni kama Aslay alikuwa anatoa roho ya Vumilia ndani yake.
Huwezi kuamini hadi ucompare mwenyewe. Nikaona siyo bahati mbaya—Aslay alipokuwa kinda, alikuwa na ladha ya kimuziki inayofanana na Vumilia.
Kwa kifupi bwana, Aslay mdogo = Vumilia kwenye version ya kiume. nyimbo hizi hapa chini compare mwenyewe
View: https://youtu.be/nZyvT8ei3gk?si=9QvbLRbYdK5cQPMe
View: https://youtu.be/Vy_CRdwo_3o?si=kxJ_iGHAnpZqZU8l